Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

CCM sijui wanatupeleka wapi 🤣 🤣 🤣
ANUNUE DILDO AWE ANAMCHOMEKA MWENYEWE NYUMBANI AACHANE NA HUYO FIRAUNI IMANUELI ANAETUMIA VIBAYA JINA ANALOSHEA NA YESU KRISTU,IMA NAE ANAZINGUA SANA😖😖😖😖
 
CCM sijui wanatupeleka wapi 🤣 🤣 🤣
ANUNUE DILDO AWE ANAMCHOMEKA MWENYEWE NYUMBANI AACHANE NA HUYO FIRAUNI IMANUELI ANAETUMIA VIBAYA JINA ANALOSHEA NA YESU KRISTU,IMA NAE ANAZINGUA SANA😖😖😖😖
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nicheke kwanza..ta comment vzuri badae
 
Salaam.

Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.

Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Wakati mwingine anamwambia mkewe kuwa nimeshikwa na msuli, ngoja nimpigie Emma aje anichue. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.

Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.

Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.

Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.

Umeeleza mengi tu, ila huyu fundi uliye tajwa kwa jina Emma ni jina halisi au?
Kama ni jina halisi sawa. Lakini kama si jina halisi, basi ungesema tu kuwa si jina halisi ili kuondoa migongano katika jamii maana yawezekana kuna mtu anahitwa Emma na ni fundi, watu wakaanza kumuhisi vibaya.

Ni hayo tu
 
Umeeleza mengi tu, ila huyu fundi aliye tajwa kwa jina Emma ni jina halisi au?
Kama ni jina halisi sawa. Lakini kama si jina halisi, basi ungesema tu kuwa si jina halisi ili kuondoa migongano katika jamii maana yawezekana kuna mtu anahitwa Emma na ni fundi, watu wakaanza kumuhisi vibaya.

Ni hayo tu
Ni jina lake, ni fundi ujenzi.
 
Ila yeye sio msukuma. ni mzaliwa wa mkoa wa Mara, wilaya ya Butiama, kabila lake ni Mzanaki (kama baba wa Taifa?
jamani CCM SISIEMU,mnatupeleka wapi lakini sisi??? 🤣 🤣 🤣,yani IMANUELI NI JINA LA YESU,HALAFU MZANAKI KAMA BABA WA TAIFA,HALAFU YEYE ANATAFUNA MWANAUME MWENZIE TENA MUME WA MTU,NA NAHISI ANATUMIA ''KOHOZI'' SIO KY🤣🤣🤣IMA FALA SANA IMA Daaah,sijui anataka nini huyu baharia imanueli
 
Hii inaweza isiwe chai lakini kwa jinsi ilivyokaa ni kama chai ivi.
 
Niliwahi kusoma mahali case kama hii, lakini pia hata yule mwanajf alokuwa analalamikiwa nae si ana mke na familia[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24]
Mwanajf yupi huyo? Rusha code tujitafunie mibwabwa hiyo kamanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom