Ushauri: Kabeba mimba ya mume wa mtu, afanyaje?

Maswali ya kijinga kama haya,hivi MTU mzima wote huyo Mwanamke na Mwanaume unafanya ngono bila mpira si unajua chochote kinaweza kutokea.

Sasa ushauri wa nini,faida ya kujamiana ni kuongeza Idadi ya watu duniani.
 
Akome kudeal na mume wa mwanamke mwenzie.
 
Kuna Tanzanian fools kweli, yaani mpaka leo wanawake bado mnajiachia na kukubali kumwagiwa ndani bila kujiandaa na majukumu halafu unakuja kuomba ushauri social media ? what the hell is this?
 

Amevuna alichopanda. Hayo maamuzi ni collective zaid btn two sides za wahusika
 
Mueleze kuwa asitoe mimba, kazi yoyote Ina mshahara,huo ni mshahara wa kahaba.
Karibu new single mama
 
Sasa unabebaje mimba bila makubaliano????
Ona sasa anaenda kuwa single mother na kupata madhila ambayo angeweza kuyaepuka kabisaaa
 
Sasa unabebaje mimba bila makubaliano????
Ona sasa anaenda kuwa single mother na kupata madhila ambayo angeweza kuyaepuka kabisaaa
Shida wanajifanya wanampenda sana mwanaume
 
Kesi ndogo hiyo; azae tu mbona wengine tupo kwenye ndoa na tumezalisha nje; muhimu tu awe na uwezo wa kujihudumia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…