Ushauri juu ya Masters ipi itanitoa

Ushauri juu ya Masters ipi itanitoa

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
956
Assalam wakuu,

Nnimehitimu B Degree ya Finance and Banking (3.6 GPA) miaka kadhaa iliyopita na sasa niko private firm nasukuma gurudumu kibishi as accountant. Kutokana na salary kuwa kiduchuuu, mzee kanipa offer nikasome Masters nje, so hapa nawaza nikasomee nini chenye kunitoa mjini hapa kati ya zifuatazo:

1) Accounting and Finance
2) Islamic Finance and Banking
3) Msc in Finance

Wakuu, nipeni ushauri ili nitoe tongotongo hizi tafadhali.
 
Mkuu kajikite kwenye mambo ya corporate finance, quantitive / mathematical finance , financial engineering na investment uwe konkodi wa masuala ya uwekezaji na masoko ya hisa pamoja au masuala ya forensic accounting na auditing mambo ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha na rasilimali nyinginezo kwenye taasisi mbalimbali, hii itakuwezesha kuwa in demand katika soko la ajira ndani na nje ya nchi.
 
nenda kajifunze skills, jifunze crane operations... mfano lile dude refu magorofa yakijengwa linakaa pembeni.. unajua jamaa wanaoendesha wanalipwa bei gani ?

nenda kajifunze kuendesha truks, au ufundi simu, ac , ma friji, ama nenda kajifunze umeme wa magari,

achana na elimu za vyeti kapate skills hata za tiba asilia kama dokta mwaka, ama kajifunze uchungaji kama mwamposa na suguye...

elimu za vyeti vingi hazina msaada sana zama hizi za teknolojia...

ila ukiwa na skills unaishi popote .

dereva wa lori semitrela kutoka Tanzania hata ukimdondosha new york leo anasota muda mchache sana anapata mchongo, kuliko umdondoshe muhasibu new york leo
 
So unaamini kabisa hio masters ukiipata ndio itakufanye uongezewe mshahara,marupurupu na uwe tajiri?

Hahah hio hela bora ukaitomb.eeeeeeee tu.
 
nenda kajifunze skills, jifunze crane operations... mfano lile dude refu magorofa yakijengwa linakaa pembeni.. unajua jamaa wanaoendesha wanalipwa bei gani ?

nenda kajifunze kuendesha truks, au ufundi simu, ac , ma friji, ama nenda kajifunze umeme wa magari,

achana na elimu za vyeti kapate skills hata za tiba asilia kama dokta mwaka, ama kajifunze uchungaji kama mwamposa na suguye...

elimu za vyeti vingi hazina msaada sana zama hizi za teknolojia...

ila ukiwa na skills unaishi popote .

dereva wa lori semitrela kutoka Tanzania hata ukimdondosha new york leo anasota muda mchache sana anapata mchongo, kuliko umdondoshe muhasibu new york leo
 
Formal education haiwezi kukutoa kamwe! Kitu pekee ambacho kinaweza kukutoa ni uwekeze kwenye akili yako. Mifumo iliyopo imewekwa ili kuandaa watu kuwa masikini. Watu pekee waliofanikiwa hapa duniani ni wale walioweza kwenda kinyume na mifumo iliyopo. Natamani akili niliyo nayo leo ningekuwa nayo wakati nasoma degree!
 
Naunga mkono hoja.

Elimu is directly proportional to umasikini.
Formal education haiwezi kukutoa kamwe! Kitu pekee ambacho kinaweza kukutoa ni uwekeze kwenye akili yako. Mifumo iliyopo imewekwa ili kuandaa watu kuwa masikini. Watu pekee waliofanikiwa hapa duniani ni wale walioweza kwenda kinyume na mifumo iliyopo. Natamani akili niliyo nayo leo ningekuwa nayo wakati nasoma degree!
 
Mkuu kajikite kwenye mambo ya corporate finance, quantitive / mathematical finance , financial engineering na investment uwe konkodi wa masuala ya uwekezaji na masoko ya hisa pamoja au masuala ya forensic accounting na auditing mambo ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha na rasilimali nyinginezo kwenye taasisi mbalimbali, hii itakuwezesha kuwa in demand katika soko la ajira ndani na nje ya nchi.
shukrani mkuu
 
nenda kajifunze skills, jifunze crane operations... mfano lile dude refu magorofa yakijengwa linakaa pembeni.. unajua jamaa wanaoendesha wanalipwa bei gani ?

nenda kajifunze kuendesha truks, au ufundi simu, ac , ma friji, ama nenda kajifunze umeme wa magari,

achana na elimu za vyeti kapate skills hata za tiba asilia kama dokta mwaka, ama kajifunze uchungaji kama mwamposa na suguye...

elimu za vyeti vingi hazina msaada sana zama hizi za teknolojia...

ila ukiwa na skills unaishi popote .

dereva wa lori semitrela kutoka Tanzania hata ukimdondosha new york leo anasota muda mchache sana anapata mchongo, kuliko umdondoshe muhasibu new york leo
well noted mkuu naanza na cherehani-kiwanda cha nguo
 
Oyaaa wanangu wa sekei , mwingine huyu hukuuu anauliza masters gani itamtoa

njooo mpeni ma mbinu ya kuanzia chuo na wapi akaisome na aje atafutie wapi ajira...

mimi tutazinguana tu...
 
Nakushauri usiende kusoma unapoteza muda,. Mwambie akupe hizo pesa kafungue walau genge la samaki au chips , achana na upuuzi wa kusomasoma bila malengo.
 
Masters zitakazo kutoa kwa 100% ni hizi
1.medicine (specialist)
2.phamacy
3.nursing
4.veternary
5.vifaa tiba
6.laboratory
7.Meno

Masters zitakazokutoa kwa 50% ni hizi
1.engineering
2.mambo upimaji ardhi
3.architecture
Masters za social science na biashara uwezekano wa kupata ajira bado ni mdogo, Kama ni Muhasibu pata Cpa (t) hii itakuongezea nafasi ya kupata kazi kidogo, Kama ni mwanasheria jitahidi uwe wakili itakuongezea uwezekano wa kupata ajira kidogo.
 
Back
Top Bottom