Ushauri juu ya hili wataalam wa ardhi

shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et
 
Mr.Black

Mr.Black

Member
Joined
Jun 9, 2014
Messages
82
Likes
65
Points
45
Mr.Black

Mr.Black

Member
Joined Jun 9, 2014
82 65 45
Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et
Ushauri watafute wataalamu wa ki sheria kwanza wakupe muongozo mzuri kisheria baada ya hapo watafute wataalamu wa mambo ya Ardhi ikiwezekana wasiliana nao wa wilayani ili ujue nin cha kufanya na watakusadia
 
Hess

Hess

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
578
Likes
593
Points
180
Hess

Hess

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
578 593 180
Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et
Mita za mraba 4,900 vs 4000 au elfu 4900 vs elfu 4000? Nway, hiyo base yenu ya 4000 au elfu 4000 mmeipataje?.... ekari ni 70x70 au 140x35 metres
 
NHS

NHS

Senior Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
123
Likes
54
Points
45
NHS

NHS

Senior Member
Joined Sep 19, 2016
123 54 45
Mita za mraba 4,900 vs 4000 au elfu 4900 vs elfu 4000? Nway, hiyo base yenu ya 4000 au elfu 4000 mmeipataje?.... ekari ni 70x70 au 140x35 metres
Kitaalam ekari moja ina ukubwa wa mita za mraba 4040..ila kimtaan ndo tumezoeshwa tofauti na hiyo so anavyokuja kkupimia mtaalam ataiweka kwa kutumia hiyo hesab apo
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Likes
84
Points
45
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 84 45
Kitaalamu ni 4040 mita za mraba ndo heka moja full stop
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,281
Likes
4,840
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,281 4,840 280
Mh ngoja nipite kimya kimya
 
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
1,156
Likes
829
Points
280
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
1,156 829 280
basi bibi yenu itabidi arudishe pesa ya izo mita zinazozidi,inaonekana wao walikubalia kwa 70x70 na bei iliendana na vipimo ivyo pia.
 
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
basi bibi yenu itabidi arudishe pesa ya izo mita zinazozidi,inaonekana wao walikubalia kwa 70x70 na bei iliendana na vipimo ivyo pia.
Hakuna hayo makubaliano ye alisema amepima ekar 6 za kisasa hakuna 70 kwa 70 ekar dunia
 
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
Ushauri watafute wataalamu wa ki sheria kwanza wakupe muongozo mzuri kisheria baada ya hapo watafute wataalamu wa mambo ya Ardhi ikiwezekana wasiliana nao wa wilayani ili ujue nin cha kufanya na watakusadia
Sawa athante tulifanya HVO mpka SAS mambo mazur
 
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
Mita za mraba 4,900 vs 4000 au elfu 4900 vs elfu 4000? Nway, hiyo base yenu ya 4000 au elfu 4000 mmeipataje?.... ekari ni 70x70 au 140x35 metres
Acre 1=4046.- -
 
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
Kitaalam ekari moja ina ukubwa wa mita za mraba 4040..ila kimtaan ndo tumezoeshwa tofauti na hiyo so anavyokuja kkupimia mtaalam ataiweka kwa kutumia hiyo hesab apo
Ni kwer
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Likes
6,446
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 6,446 280
Ekari.moja ni 4046

Ni kama 63.61 x 63.61
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,400
Likes
1,618
Points
280
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,400 1,618 280
A quick google search itakuambia ukweli.
 
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
580
Likes
626
Points
180
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
580 626 180
Muulizeni mnunuI kama angenunua nyumba za lugumi mnadani na akalipia nusu anadhani alistahili kupewa nyumba nusu au hata hiyo pesa aliyolipa mnadani ingepotea na nyumba asingepata.
Aache uhuni arudishiwe pesa yake as long as hana alichofanya shambani kwa bibi yenu.
Tena mumuambie bibi yenu ana matatizo ya akili akiendelea kukomaa atapoteza hata pesa aliyotoa kidogo...kuhusu ekari moja ni sawa mita mraba 4040...
 
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,189
Likes
2,736
Points
280
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,189 2,736 280
Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike
Ulitaka bibi yako aingizwe choo cha kiume?Just a joke!
 
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
201
Likes
26
Points
45
shamika

shamika

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
201 26 45
Muulizeni mnunuI kama angenunua nyumba za lugumi mnadani na akalipia nusu anadhani alistahili kupewa nyumba nusu au hata hiyo pesa aliyolipa mnadani ingepotea na nyumba asingepata.
Aache uhuni arudishiwe pesa yake as long as hana alichofanya shambani kwa bibi yenu.
Tena mumuambie bibi yenu ana matatizo ya akili akiendelea kukomaa atapoteza hata pesa aliyotoa kidogo...kuhusu ekari moja ni sawa mita mraba 4040...
Alilipa yote bila deni sh milion mbili laki saba mwaka 2013 nilipo kuja mie ndyo nkashitukia mchezo
 
Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,567