[emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa hapo wengine ndo hujiaminisha kuwa walomtongoza awamu hii atakuwa amewakubaliaSure huwa inatia kiburi sana moyoni kua umechagua chuma pia inafariji kua umepata mtu muaminifu ...
ila sasa mbaya ni pale unapokubali hii kitu alafu unapita muda mrefu bila kukuhadithia tena kuhusu kutongozwa. Hapo ndio utabaki na 21 questions kama 50 cent
Ndugu acha kutamka kumtoa mtu roho,ulinaweza tokea kwel maneno huumba utamtoa roho utaenda magereza watu watabaki wanamtufuna vizur zaidi na utapata hasara zaidi kua mvumliv endelea kumfuatilia kwa siri zaid...aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Ndugu acha kutamka kumtoa mtu roho,ulinaweza tokea kwel maneno huumba utamtoa roho utaenda magereza watu watabaki wanamtufuna vizur zaidi na utapata hasara zaidi kua mvumliv endelea kumfuatilia kwa siri zaid...aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Utakua Polisi, kama ni Askari basi acha agongwe tu, hata Mimi nikimpata mke wa Askari Naweka Imani kando, lazima nimkule...... Askari wana maringo Sana kumbe wake zao lainisijapanga ni nyumba ya serikali
Hahahah!![emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa hapo wengine ndo hujiaminisha kuwa walomtongoza awamu hii atakuwa amewakubalia
Poa Davet,. Mzima??!Mumu mambo?
Niko poa sana, vp za huko ulipo?Poa Davet,. Mzima??!
Huku kwema kabisaa,sijui kwako jpili hii?!Niko poa sana, vp za huko ulipo?
We Mwanaume gani unaogopa kupigana???, wanaume wa daslam bana!Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.
Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Kwangu Mungu anasaidia ndugu, alafu huyu ndugu yangu 3D yupo wapi?Huku kwema kabisaa,sijui kwako jpili hii?!
Fanya uchunguzi Wa kijasusi kisha ukipata jibu chukua maamuzi kama unayo,ila usimfuate Atakuona Fala Na sio kanuni za mwanaume kwenda kuomba huruma Kwa mgoni wako.Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.
Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Ayaa basi kama upo tayar kwa lolote haina haja ya kuomba ushaur !!au ulitaka ushauriwe utumie panga,shoka au kisu? Yaan mm naona magereza inakuita na mkeo atakuletea msosi weekend 2 tu na utaozoe magereza.. Kua mtulivu na mvumiliv ww na mwanao ni wa dhaman kulko huyo anayekusalitkama anatembea na mkewangu nipo tayari kwa lolote
Oh,huyo shem wangu analea sasahvKwangu Mungu anasaidia ndugu, alafu huyu ndugu yangu 3D yupo wapi?
Heeh! unataka kuniambia kaongeza idadi ya watu duniani?Oh,huyo shem wangu analea sasahv
Haswaaa,.anajaza tuu ulimwengu huu....atawamalizia nafasi Ohoo[emoji13][emoji13]Heeh! unataka kuniambia kaongeza idadi ya watu duniani?