Ushauri: Jinsi ya kuacha Kamchezo ka kutumia sabuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Jinsi ya kuacha Kamchezo ka kutumia sabuni

Discussion in 'JF Doctor' started by haina noma, Aug 1, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. h

  haina noma New Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanaJF,
  Mimi ni kijana nina miaka 22. Nimekumbwa na personal conflict na inanikosesha raha na wakati mwingine kujiona kama siwezi kuji control..

  Ni zaidi ya miaka mitatu (3) sasa, nimekua na mchezo wa kutumia sabuni kukidhi haja zangu za kimapenzi (puli). Naongea kwa maskitiko makubwa kwa maana nimeona hapa ni mahala pekee naweza kupata ushauri wa kutatua tatizo hili.

  Tokea nianze huu mchezo, nimekuwa nikifanya hivi zaidi ya mara 5 kwa wiki kwa kutumia sabuni kuridhisha haja zangu za mapenzi. Lakini hii inatokana na hali inayonikabiri hapa nilipo maana nchi za Uarabuni, hawaruhusu kabisa kuwagusa binti zao. Na kuondoka katika nchi hii kurudi nyumbani inaweza ikanichukua muda zaidi..

  Ninateseka jamani, naomba msaada wa jinsi ya kuacha kufanya mastaburtion, maana naona inaniathiri hata kisaikolojia but nimeshindwa kuacha. Kila ninapoingia kuoga, mara nyingi hujikuta naanza kuwaza mambo ya ngono na mpaka kufikia ku-masturbate.. Hisia zangu zimezidi, maamuzi yangu. Nimekua nikipanga kuacha mchezo huu siku nyingi, toka mwaka jana January, but mwendo umekua ule ule hadi sasa nimeshindwa kuacha.. Natamani kuondoka katik nchi hii, ila kwa sasa siwezi, maana nina miaka 5 zaidi ya kukaa hapa..

  Naomba msinitukane wala kunikebehi, naomba msaada wako wa kiushauri ili niondokane na hili tatizo..

  Natanguliza Shukrani
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kugundua kuwa una tatizo na kuanza kufikiria njia ya kuliondoa ni hatyua moja muhimu sana. Jiepushe kuwa idle muda mrefu na kuongelea mambo yanayohusu ngono all the time na vile vile fanya mazoezi uchoshe mwili wako yaani ukiingia rum kwako unawaza kulala tuu na sio kwenda bafuni kumalizia kanguvu kalikobaki kufanya hilo.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...