Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 23,130 Reaction score 48,188 Mar 16, 2023 #41 Ralph_Lauren said: Kaniambia mwisho wa training wanapewa mashamba ya pamoja Click to expand... Daah mkuu usimtoe kwenye reli hapo mjini mambo ya IT ataweza kupata Network zaidi kuliko kwenye Kilimo labda ungesema una shamba umempa na zana za kisasa napo ningesema atafute wa kusimamia shamba yeye aendelee na mishe za mjini...
Ralph_Lauren said: Kaniambia mwisho wa training wanapewa mashamba ya pamoja Click to expand... Daah mkuu usimtoe kwenye reli hapo mjini mambo ya IT ataweza kupata Network zaidi kuliko kwenye Kilimo labda ungesema una shamba umempa na zana za kisasa napo ningesema atafute wa kusimamia shamba yeye aendelee na mishe za mjini...
U Utaula wa chuya JF-Expert Member Joined Sep 19, 2022 Posts 607 Reaction score 1,784 Mar 16, 2023 #42 DR HAYA LAND said: Laki tatu ni hela ya kula tu anabidi wamsapoti Click to expand... Wewe mwalimu unapata wapi nguvu ya kusema laki tatu ni hela ya kula tu?
DR HAYA LAND said: Laki tatu ni hela ya kula tu anabidi wamsapoti Click to expand... Wewe mwalimu unapata wapi nguvu ya kusema laki tatu ni hela ya kula tu?
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,929 Reaction score 21,257 Mar 16, 2023 #43 Ralph_Lauren said: Lakini kule ni kama anaenda kuanA upya at least he started making something of himself here Click to expand... Si kwa laki tatu. Mafunzo ya miezi mitatu si haba, yatamfungulia milango mingine. Na hatujui watawezeshwa namna gani wakati na baada ya mafunzo.
Ralph_Lauren said: Lakini kule ni kama anaenda kuanA upya at least he started making something of himself here Click to expand... Si kwa laki tatu. Mafunzo ya miezi mitatu si haba, yatamfungulia milango mingine. Na hatujui watawezeshwa namna gani wakati na baada ya mafunzo.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,829 Reaction score 8,472 Mar 17, 2023 #44 Lycaon pictus said: Si kwa laki tatu. Mafunzo ya miezi mitatu si haba, yatamfungulia milango mingine. Na hatujui watawezeshwa namna gani wakati na baada ya mafunzo. Click to expand... Ngoja tuone
Lycaon pictus said: Si kwa laki tatu. Mafunzo ya miezi mitatu si haba, yatamfungulia milango mingine. Na hatujui watawezeshwa namna gani wakati na baada ya mafunzo. Click to expand... Ngoja tuone
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,436 Reaction score 35,995 Mar 19, 2023 #45 Out of watu 20k una chaguliwa afu uendi iyo nafasi si ange acha wapewe wengine