Ralph_Lauren
Member
- Oct 26, 2022
- 33
- 33
- Thread starter
-
- #21
I hear you mkuuUsimuingize katika miradi uchwara ya serikali ,
Hapa DSM anaweza kutengeza future yake Vizuri tu waambie Serikali huko BBT ni kwa ajili ya vijana ambao hawana Cha kufanya na wakiokubali kugeuzwa mtaji wa kisiasa
Yeye anataka aende hukoYeye ndio umsikilize zaidi anachotaka na sababu gani!
Lakini kule ni kama anaenda kuanA upya at least he started making something of himself herekwa kazi ya laki tatu bora aende huko BBT.
nikajua kazi amepata? Kumbe mafunzo 😀 😀 😀 😀 😀 yani hapo kuna mkubwa katafuta namna ya kupiga hela kaamu aje na hiyo project ila WANAENDA KUPOTEZAA MUDA TUWameambiwa watapewa mashamba ya block farm
Dah computer engineer anafanya sales!!? Nimesikitika sana!! Mshauri ajisajili ERB kama graduate l.Habari wakuu,
Nina mdogo wangu ana Bachelor ya Computer Engineering, sasa alipata kazi kwenye kampuni moja Posta huko kama mtu wa Sales/Customer Service, analipwa laki tatu kwa mwezi.
Juzi kapokea taarifa kwamba anahitajika Dodoma kesho kwa ajili ya mafunzo ya mambo ya kilimo ya BBT ya muda wa miezi mitatu.
Sasa naomba mnishauri, maana wiki 2 zilizopita nimetoka kumpatia Kodi ya chumba na kumnunulia mahitaji zaidi ya 1 million ili apange, na kashapanga alikuwa anasema kwangu mbali na kazini. Mimi naona bora aendelee na kazi hapahapa town lakini labda namkosesha fursa!
Naomba ushauri wenu wakuu.
Mwambie aende. Mwenyewe nlitamani kwenda sema nlichelewa ku apply! Akimaliza mafunzo ana eka 10 za kulima.. akiwa smart atatoboa.Yeye anataka aende huko
Nimwkuelewa mkuuAiseh nimejitahidi nipate muda nikomment
Mkuu Epuka project zenye mikono ya kisiasa ni hatari. Level of Risk kwenye project zenye mikono ya kisiasa IPO juu Sana.
IPO siku anaweza kutokea waziri akasema hiyo project ifutwe ukabaki unashangaa.
Muache kijana akomae mjini atangeneze network Kwa kuanzia hapo alipo. Najua huo mshahara sio mkubwa Kwa Dar lakini Kwa Dar ukiwa na pakuanzia sio mbaya. Kupitia hapo naamini akiwa MTU WA kujiongeza atafika anapotaka kufika.
Ushauri wangu aachane na hizo project za kisiasa na ajikite kwenye hiyo ajia yake mpya.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bongo nyoso nduguBachelor in computer engineer laki 3 kwa mwezi, dah !
Sasa kama chuo wanapewa 10k/day si ndo laki 3 kwa mwezi yenyewe hii! *****Bongo nyoao ndugu
300K kwa town inaishia kwenye chakula tu, ilibidi hadi mashuka ninunueUnaikumbuka kilimo kwanza ya yule Mheshimiwa wa sumbawanga ? Iko wapi ?
Tatizo akishaamua huwezi kumbadilisha.
Hata hivyo unamnunulia fanicha na kodi kwani yeye hiyo laki tatu anafanyia nini, uwe tu una busti pale anapokwama
Aachane na mambo ya BBT ya kichamachama hayo, akomae na kazi mjini kuna siku patatiki sehemu nzuri.Habari wakuu,
Nina mdogo wangu ana Bachelor ya Computer Engineering, sasa alipata kazi kwenye kampuni moja Posta huko kama mtu wa Sales/Customer Service, analipwa laki tatu kwa mwezi.
Juzi kapokea taarifa kwamba anahitajika Dodoma kesho kwa ajili ya mafunzo ya mambo ya kilimo ya BBT ya muda wa miezi mitatu.
Sasa naomba mnishauri, maana wiki 2 zilizopita nimetoka kumpatia Kodi ya chumba na kumnunulia mahitaji zaidi ya 1 million ili apange, na kashapanga alikuwa anasema kwangu mbali na kazini. Mimi naona bora aendelee na kazi hapahapa town lakini labda namkosesha fursa!
Naomba ushauri wenu wakuu.
Kaniambia mwisho wa training wanapewa mashamba ya pamojaWangekua wanajifunza baadae wanapewa mashamba na zana za kilimo sawa ila ajifunze kwa kutegemea Wanasiasa wanasema nini aachane nayo....wanabadili majina ndio ile ile Kilimo kwanza..
Sawa tu ila usimtoe kwenye reli, mwache akae mjini kuna network pia.300K kwa town inaishia kwenye chakula tu, ilibidi hadi mashuka ninunue
Tena asuthubutu kwenda kwenye maproject ya siasa!Nimwkuelewa mkuu
Engineer kabisa chiefComputer engineer.
Ishawai kufanyika hii project?Dah computer engineer anafanya sales!!? Nimesikitika sana!! Mshauri ajisajili ERB kama graduate l.
NB: aende BBT kuna future nzuri. Wakimaliza wanakabidhiwa eka 10 kwa ajili ya kilimo
Ni mara ya kwanza. Wanapewa na vitu vya kuanzia. Kama ana passion ya kilimo aende.Ishawai kufanyika hii project?
Mnamdekeza.300K kwa town inaishia kwenye chakula tu, ilibidi hadi mashuka ninunue