Ralph_Lauren
Member
- Oct 26, 2022
- 33
- 33
Nini kitafuata baada ya hiyo miezi mitatu ya mafunzo ya kilimo ya BBT?Habari wakuu,
Nina mdogo wangu ana bachelor ya computer engineering sasa alipata kazi kwenye kampuni moja posta uko kama mtu wa sales/customer service analipwa laki tatu kwa mwezi. Sasa juzi kapokea taarifa kwamba anahitajika Dodoma kesho kwa ajili ya mafunzo ya mambo ya kilimo ya BBT ya muda wa miezi mitatu.
Sasanaomba mnishauri maana wiki 2 zilizopita nimetoka kumpatia Kodi ya chumba na kumnunulia mahitaji zaidi ya 1 million ili apange, na kashapanga alikua anasema kwangu mbali na kazini. Mimi naona bora aendelee na kazi hapahapa town lakini labda namkosesha fursa!
Naomba ushauri wenu wakuu.
Yeye ndio umsikilize zaidi anachotaka na sababu gani!Habari wakuu,
Nina mdogo wangu ana Bachelor ya Computer Engineering, sasa alipata kazi kwenye kampuni moja Posta huko kama mtu wa Sales/Customer Service, analipwa laki tatu kwa mwezi...
Laki tatu ni hela ya kula tu anabidi wamsapotiUnaikumbuka kilimo kwanza ya yule Mheshimiwa wa sumbawanga ? Iko wapi ?
Tatizo akishaamua huwezi kumbadilisha.
Hata hivyo unamnunulia fanicha na kodi kwani yeye hiyo laki tatu anafanyia nini, uwe tu una busti pale anapokwama
Then ? Atapata mamillion.kwa kazi ya laki tatu bora aende huko BBT.
Kwa kuanzia sio mbaya mkuu.Bachelor in computer engineer laki 3 kwa mwezi, dah !
SawaLaki tatu ni hela ya kula tu anabidi wamsapoti
Sure mkuuAfanye kazi hayo mamiradi ya kisiasa siuna jua Tena anything can happen
Wameambiwa watapewa mashamba ya block farmNini kitafuata baada ya hiyo miezi mitatu ya mafunzo ya kilimo ya BBT?