Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,880
- 14,184
Kumekuwepo kama mashindano ya nani mwenye likes na asiye na likes,watu wanaomba ushauri wachangiaji wanaandika coments ambazo watapata likes nyingi bila kujali wanaandika nini. Suluhisho ni moja tu,reactions zikifutwa watu watanyooka kwani watakuwa hawana tena kile kimuhemuhe cha kutafuta likes. Ni ushauri tu maana jukwaa linaenda au tuseme limekuwa jukwaa la vichekesho.