Ushauri: jamii forums ifute kipengele cha reactions.watu tuslike/dislike.

Ushauri: jamii forums ifute kipengele cha reactions.watu tuslike/dislike.

Kisaikolojia tabia itakomazwa na positive award na itaharibiwa na negative award.

Like ni positive award.

Dislike ni negative award.

Tabia inayokomazwa hapa ni ya mtu kurudi na kucomment mara kwa mara.

Kucomment kunawapa pesa.

Hawawezi kuondoa likes na dislikes.

Positive award ni addiction. Kuna mtu atakasirika kwakua anaona hapati likes kama zamani. Mwingine siku inaenda vyema akiona ame-quotiwa na watu wamelike post.
Sahihi kabisa, hakuna mtu asyependa kuwa appreciated, yani unafanya mambo lakini hakuna anayekukubali, kwa asili wote tunapenda kukubalika na kupendwa.

Ndio maana mtu akitoa dislikes watu hawapendi, japo nayo ni reaction kama zingine ila kwa asili tunapenda kukubalika zaodi.
 
Ukifatilia baadhi ya mada za mtoa mada utagundua ana matatizo ya akili.

Huwezi kuandika kitu cha maana au cha kuwafurahisha watu afu waache kukupa likes, Sasa kama Hiyo n kero kwako bc anza kucomment Matusi kwenye kila uzi ili watu wakupuuze.
 
Hii ndio sababu inayonifanya nisiwe active sana kwenye mitandao ya kijamii karibu yote, labda kama ni zile page za comedy straight, una point bro ila huwezi kusikilizwa,Niamini Mimi mkuu
 
Back
Top Bottom