kamasultra
Member
- Mar 10, 2018
- 44
- 36
Mkuu hebu nipe comment ya hio simu nataka me mwenyewe nikaichukue hyo A-5 ya 2017 vipi ni nzuri kweli mkuu?Wasalaam , kuna hii simu yangu tajwa hapo juu ilianguka na kufa display nimekiweka tu ndani kwa mda sasa .Nataka kuifufua nimejaribu kupita kkoo bei nimetajiwa 280k mpaka 300k hapo ikijumuisha na ufundi . kwa maoni yangu nimeona ni risk kuitengeneza kwa gharama hio na isirudi kama awali . naomba ushauri /msaada.
1. Je gharama hizo ni sahihi au walitaka kunilamba
2.Je naweza pata display used kwa bei rafiki?
3. Je nikiitengeneza itarudi vizuri kama mwanzo au niachane na wazo hili
Nawasilisha
Nashukuru bosshailipi mkuu, hio bei ukiongeza kidogo si unapata a7 nyengine? na pia kibongo bongo unaweza ukaekewa touch ukigusa inakuwa haina accuracy compare na original.
labda uskilizie hio used, tembelea kwa mafundi
Inategemea na budget yako ikoje ila simu iko poa sana . kama vyuma havijakaza sana chukua a7 2017 iko vizuri zaidiMkuu hebu nipe comment ya hio simu nataka me mwenyewe nikaichukue hyo A-5 ya 2017 vipi ni nzuri kweli mkuu?
800kInategemea na budget yako ikoje ila simu iko poa sana . kama vyuma havijakaza sana chukua a7 2017 iko vizuri zaidi
hizi A series za 2017 zimetulia sana mkuu, kama alivyosema mdau hapo juu tatizo ni bei, zinauzwa ghali sana.Mkuu hebu nipe comment ya hio simu nataka me mwenyewe nikaichukue hyo A-5 ya 2017 vipi ni nzuri kweli mkuu?
Sawa Mkuu ngoja nijichange nazikubali sana Samsung hasa hizi A series maana nataka zenye Fm radio na uwezo wa kurecordhizi A series za 2017 zimetulia sana mkuu, kama alivyosema mdau hapo juu tatizo ni bei, zinauzwa ghali sana.
kama unaipata kwa bei nzuri ichukue.
A5 750kSawa Mkuu ngoja nijichange nazikubali sana Samsung hasa hizi A series maana nataka zenye Fm radio na uwezo wa kurecord
A5 ya 2017 or 2016??A5 750k
2017A5 ya 2017 or 2016??