Ushauri: Diamond na Wasafi FM zingatieni haya

Nipongeze tu uongozi mzima wa media, mnaonekana mna nia ya dhati ya kuifikisha Redio yenu mbali. Binafsi napenda kuwashauri kulingana na kero nlizozisema mwanzo

Nidhamu ya kazi kwa watangazaji na swags za kutangaza
Ukienda kwenye sherehe alafu wakawa wanaongea wageni waalikwa na akaongea Mc, ni rahisi kumjua Mc kwa vile anavyoongea tu . Nashauri muache kusimulia au kuelezea, Mtangaze, wale ambao wamepewa nafasi bila kusoma utangazaji ni vyema wakala kozi kidogo, nampongeza David Rweikiza anajitahidi sana kipind cha asubuhi
Usomaji taarifa ya habari na matangazo
Japo sijui utaratibu ni upi ila kama Wasafi mngepata access ya kurusha matangazo ya idhaa za Kiswahili mngekuwa mmecheza eko sana, alafu vipindi vya habari (hasa za ndani) mviingize kwenye vipindi tu vya kawaida kama mnavyochambua magazeti yani. Kuhusu matangazo ni vyema watangazaji wakayasoma kama yalivyo alafu kama kuna neno la kuongeza aongeze baada au kabla. Aliyah, Calipso na Jonijoo walikuwa wanafanya vizuri sana kuhusu matangazo kwenye Block89. Atleast the switch pia nliona wakisoma matangazo fresh
Watangazaji kwenye kipindi
Nmeona thread kuhusu Musa Hussein humu, kuwa haskiki Clouds, nafikiri ni moja kati ya watangazaji wazuri sana, kama kuna uwezekano wa kumsajili huyu jamaa ndani ya kikosi wala msisite, aingie kwenye Gud Morning, Chumvi na Ndimu kuna mda wanafurahisha japo wana fujo sana wapunguze,ila nashauri Zembwela apewe kipindi cha pekeake kabisa mida ya jioni hivi awe anaongelea matukio, kero au changamoto za watu mbalimbali nahisi atafanya vizuri sana, Kitenge asipayuke sana, pia kama hawezi kusubiri mtu amalize kuongea apewe vipindi vya siriaz kama mahojiano hivi akiwa mwenyewe pia n.k. Alafu kupunguza mazoea zaidi yule dada wa asubuhi pia aondoke(aende hata kwenye mambo ya taarabu hivi) alafu awekwe @ImCalipso kama host kwenye kipindi hicho cha asubuhi.
Kuhusu Diamond
Ifike mahali watangazaji waifanye media ionekane imesimama yenyewe, ili kuwavuta hata wasikilizaji wasiomkubali boss wenu, He is Great, lakini kila mtu ana mtazamo wake na hamuwezi kuingilia, hamna haja ya kumpa credit kupita kiasi hata kama anawapea mshahara unless iwe ni lazima. Kubalace shobo ndo kiswahili fasaha kwenye hili
Kuhusu vipindi
Nashauri muda wa baadhi ya vipindi kama mashamsham upunguzwe kidogo, mambo ya taarab tu kuongelewa masaa matatu alaf kila siku sioni kama ikoje, cjui haswa contents zao lakin naona kama parefu sana, alaf kuhusu sauti naona kama watu wanaongelea mbali na Mic, pia kuna ka base flani mngeongeza ingekaa powa, baadhi ya segment pia ziwe tu ni commercial break tu

Mwisho naomba Mungu awajalie mzidi kufanya vizuri hadi kimataifa. Msione haya pia kuiga kitu kizuri hasa kwa wapinzani wenu kama Clouds, ambao wapo kwenye game mda mrefu wanafanya kwa u professional naona hasa kipindi cha asubuhi. Najua mnaweza msiwe na experience nzuri ya maisha ya media maana mmeanzia juu sana na tuna expect high kutoka kwenu kulingana na brand yenu..
Wasafi Ni tawi la clouds
 
We jamaa siyo mtu fulani ulikuwa chuga miaka mitatu nyuma? If not nitakuwa nimefananisha id
 
Ukitoa vipindi vya michezo, vipindi vingine chemistry bado hazi click. Hizi radio mpya zimeitikisa Clouds lakini bado sana ku take over, wanaigana sana.

Hivi lazima asubuhi muwe na PB yenu, Leo tena yenu, XXL yenu, Jahazi yenu? Hivi hakuna ubunifu mpya, hadi watangazaji, uongeaji? Mbona Sport Arena imeleta fresh air na option nzuri kwa wasikilizaji?

Kwahiyo toka Amina Chifupa alivyobuni kuanzia saa 3 hadi mid day kuwe na leo tena imekuwa sheria radio zote? Shwain
 
Yaani huo ndio umekua kama muongozo rasmi wa mpangilio wa vipindi kwa redio zote Tz hata za vichochoroni ukiondoa radio za dini
 
Back
Top Bottom