Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,976
- 12,439
Nhatupokei ushauri toka kwa ibilisi.Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.
Lakini pia hii itasaidia kuonesha support yao kwa mwenyekiti wao na wafuasi wao kwa ujumla. Mambo hayo ni
[1] Chama kichague viongozi mbali mbali ambao wataongoza maandamano hayo, wakiwepo katibu mkuu wa chama, manaibu katibu wakuu bara na visiwani, wabunge wote waliokuwa katika awamu iliyopita 2015 - 2020, viongozi wa chama kutoka katika mashina mbali mbali na wale wa kitaifa.. afu sasa baada ya hao kuwaongoza waandamanaji na kuwapa direction ndio sasa lije kundi la sisi wapambanaji wa magazetini na mitandaoni kama vile kina Dudumizi nk.
[2] Chama kitoe onyo la kuwafukuza uanachama viongozi na wanachama wote ambao watabainika kutoshiriki katika maandamano hayo. Maana kukosa kushiriki kwao itakuwa ni usaliti na unafiki mkubwa dhidi ya chama na mwenmwenyekiti wa chama kwa ujumla. Chama kisiwaonee aibu viongozi hawa ambao hupanga maandamano, na siku ikifika hawajitokezi maandamanoni badala yake wanakaa majumbani kwao na familia zao huku wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV zao.
Toka vyama vingi vianzushwe ni viongozi watatu tu ndo nishawahi kuwaona maandamanoni nao ni Augustine Mrema, Dr. Slaa na Prof Lipumba. Waliobakia huwa wanashinda kideoni kuangalia na kusikilizia matokeo ya maandamano walioyandaa wenyewe. Asanteni sana ndugu zangu nina imani mawazo yang yatafanyiwa kazi na uongozi wa chama haraka iwezekanavyo.. Pepoooooz Pawaaaaaa.
Nawasilisha.
ndugu wazo zurisanaaaaaaa lakini utaambiwa umetumwa watumie mbinu hii watafauluHabari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.
Lakini pia hii itasaidia kuonesha support yao kwa mwenyekiti wao na wafuasi wao kwa ujumla. Mambo hayo ni
[1] Chama kichague viongozi mbali mbali ambao wataongoza maandamano hayo, wakiwepo katibu mkuu wa chama, manaibu katibu wakuu bara na visiwani, wabunge wote waliokuwa katika awamu iliyopita 2015 - 2020, viongozi wa chama kutoka katika mashina mbali mbali na wale wa kitaifa.. afu sasa baada ya hao kuwaongoza waandamanaji na kuwapa direction ndio sasa lije kundi la sisi wapambanaji wa magazetini na mitandaoni kama vile kina Dudumizi nk.
[2] Chama kitoe onyo la kuwafukuza uanachama viongozi na wanachama wote ambao watabainika kutoshiriki katika maandamano hayo. Maana kukosa kushiriki kwao itakuwa ni usaliti na unafiki mkubwa dhidi ya chama na mwenmwenyekiti wa chama kwa ujumla. Chama kisiwaonee aibu viongozi hawa ambao hupanga maandamano, na siku ikifika hawajitokezi maandamanoni badala yake wanakaa majumbani kwao na familia zao huku wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV zao.
Toka vyama vingi vianzushwe ni viongozi watatu tu ndo nishawahi kuwaona maandamanoni nao ni Augustine Mrema, Dr. Slaa na Prof Lipumba. Waliobakia huwa wanashinda kideoni kuangalia na kusikilizia matokeo ya maandamano walioyandaa wenyewe. Asanteni sana ndugu zangu nina imani mawazo yang yatafanyiwa kazi na uongozi wa chama haraka iwezekanavyo.. Pepoooooz Pawaaaaaa.
Nawasilisha.
Sasa kufanya maandamano bila kuwepo waitisha maandamano kuna tija gani?Nhatupokei ushauri toka kwa ibilisi.
Haya tuachie wenyewe nyie endeleeni na mbeleko yenu ya jeshi dhalimu la Polisi,Sasa kufanya maandamano bila kuwepo waitisha maandamano kuna tija gani?
Mbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba mpya na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.ndugu wazo zurisanaaaaaaa lakini utaambiwa umetumwa watumie mbinu hii watafaulu
kweli kabisa mkuu yaani hapo ndiyo watajulikana na wale waandamanao kwa kupitia mitandao tuMbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.
Ok mkuu huu ni ushauri tu.. Huwezi jua labda katibu mkuu ataufanyia kazi. Waswahili wanasema "usiusemee moyo wa mwenzako".Haya tuachie wenyewe nyie endeleeni na mbeleko yenu ya jeshi dhalimu la Polisi,
Ndomaana yake mkuu, ngoja tuone huenda katibu mkuu ataufanyia kazi ushauri huu kina prof J waingie barabaranikweli kabisa mkuu yaani hapo ndiyo watajulikana na wale waandamanao kwa kupitia mitandao tu
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala, CCM hii haina tofauti na Bokoharam.Ok mkuu huu ni ushauri tu.. Huwezi jua labda katibu mkuu ataufanyia kazi. Waswahili wanasema "usiusemee moyo wa mwenzako".
hahaaa itakuwa tamu hiyo sanaaaNdomaana yake mkuu, ngoja tuone huenda katibu mkuu ataufanyia kazi ushauri huu kina prof J waingie barabarani
chadema ni genge la kigaidi likiongozwa na mwenyekiti mbowe kutaka kuingia madarakani kwa nguvu bila ridhaa ya wananchiCCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala, CCM hii haina tofauti na Bokoharam.
Inasemekana jamaa amegeukwa na team yake mwenyew baada ya kuona chama na uongozi wake havina muelekeo. Kitendo cha jamaa kutaka awe mwenyekiti wa chama peke yake miaka yote kimewakasirisha wengi na mbinu walioona ni nyepesi kwao kumtoa pale kitini ni kupelekea taarifa ya matendo yake kwa vyombo husika ili vimshughulikie na wao wapumue kidogo
Kigogo ashaanza kusema ana tatizo la tumbo la ku.hara kwahiyo hatoshiriki hahahaana kigogo2014 kapotea mtandaoni ghafla kwi kwi kwi
Mpe mumeo tunda achana na mambo hayo unajichosha bure.chadema ni genge la kigaidi likiongozwa na mwenyekiti mbowe kutaka kuingia madarakani kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi