USHAURI: CHADEMA msishiriki uchaguzi mdogo ujao iwapo.....

Nashauri vyama visijitoe isipokuwa kwa kuwa wanajua mchezo wa ccm ni kufanya kama walivyofanya Malinyi. Nchi hii sasa inahitaji vitendo vya ujasiri. Choma ofisi zao, chomeni hata ya mkuu wa mkoa hapo ndipo adabu itaingia. Tuache ukondoo na tufanye kama wenzetu wakenya, vurugu kwa kwenda mbele. CCM itatoka madarakani kwa nguvu ya wananch tu na sio kwa sanduku la kura.
 
Iwapo cdm wataingia kwenye uchaguzi wowote na mapanga, sime, bunduki nk hapo sawa. Ila eti wao wanauza sera na ushawishi wa kisiasa, ccm wao wanatumia silaha na ukatili wa kutisha achia mbali kulazimisha kutangazwa washindi. Tumeshafahamu na ushahidi upo wazi kwamba ccm haiwezi siasa bali inatumia jeshi kutawala nchi.

Ile kupokea madiwani kwenye hafla ya jeshi ilikuwa ni ushahidi tosha wa hilo. Acha ccm ibaki yenyewe, wananchi wasusie kwa wingi kupiga kura. Hapo wataamua wenyewe washindane kikabila, kikanda na kidini. Halafu huo upuuzi ukishika kasi jeshi nalo litajiingiza kushika madaraka maana nalo litajua taratibu hazifuatwi. Kwenye uamuzi huu tusisikie eti vionngozi wa dini walishauri. Mpaka sasa watu wanauliwa na unyama wote wako kimya.
Dogo tindo leo imekuwaje?
 
Dogo tindo leo imekuwaje?

Yap umeingia nilipopataka, cdm ilishasusia na hivyo imeshatekeleza wajibu wake. Kama tume imepuuza kufanyia kazi malalamiko ili ccm ishinde kwa mteremko basi cdm imeamua kushiriki. Kitendo cha cdm kililaaniwa na wananchu wengi wakiwepo wanaccm kwamba cdm wanasusa ili kuichafua nchi kwamba haina demokrasia na maneno ya kejeli kwamba ukisusa wenzio twala.

Sasa cdm imeamua kushiriki kujiaibisha kwamba ilikuwa inaichafua nchi kuhusu demokrasia, au kudhibitisha wanakopigia kelele. Uchaguzi huu mdogo utakuwa umeamsha umma kufuatilia kujua hizi kelele za cdm ni kweli? Ccm inakubalika ama hutumia dola kupata ushindi? Nawashauri cdm wafanye kampeni za kistaarabu na sio za woga, tukio lolote la ukiukwaji wa sheria liripotiwe ndani na nje ya nchi kwa nguvu sana. Nitakubali kiroho safi iwapo cdm itashindwa kihalali kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Back
Top Bottom