Ushauri: CCM tafuteni mtu makini wa kupambana na Bilionea Mbowe Hai, huyu mnayemtumia sasa Ole Sabaya ni sawa na kupoteza muda wenu bure

Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Hongera Mkuu kwa utabiri.VIP kwa wanaccm wabunge gani watarudi mjengoni?
 
Hai. Machame ni pagumu Sana kwa Mbowe. Hai umasai na Machame juu Kuna kazi nzito. Mbowe anaweza kuanguka
 
Lakini ukweli ndio huo hata duka tu ukifungua hai kama siyo mmachame imekula kwako

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
"Haikuwa ya wachaga"ila asaiv ya wachaga sasa nikuambie kitu mkuu ukisema ukabila haupo njoo kwetu makete mtu wa kabila jingine gombea hata ujumbe wa Tawi wakuoneshe au nenda rungwe na kyela huko wakakuambie kuongozwa na mtu wa asili nyingine kwao zambi
 
Aisee sio huku kwetu yaani mtu wa kuja uje kutuongoza sisi hilo halipo na haliji kutokea
 
Acha kuandika upuuzi wewe toa sababu
 
Lakini ukweli ndio huo hata duka tu ukifungua hai kama siyo mmachame imekula kwako

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Basi kama ni hivyo kuna aja ya kuwaangalia hawa watu kwa jicho la karibu na ikiwezekana kwenye suala la uongozi waishie huko huko kwao tu. Wasipewe kabisa nyadhifa yoyote ile ambayo inahusisha kuongoza watu wa maeneo mengi. Maana inaonesha wao wenyewe hawako tayari kwa wamoja na watu wengine.
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu


Ila kwa Heche na Mbowe ni kazi sana, kwa hao wengine ni rahisi sana kutumia "bao la mkono". 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…