Ushauri: CCM tafuteni mtu makini wa kupambana na Bilionea Mbowe Hai, huyu mnayemtumia sasa Ole Sabaya ni sawa na kupoteza muda wenu bure

Majimbo hayana ukabila, huyo kijana anajitutumua kipumbavu na hana haki ya kutaka kumdhalilisha kiongozi kama Mbowe, hata sie wana CCM wengine hatuungi mkono yanayofanyika Hai hivi sasa.

Kuhusu ukabila kama ni kigezo cha mtu kuishi ama kugombea sehemu, Hai haikuwa sehemu ya wachaga bali ilikuwa sehemu ya wamasai na kama ni ukabila Ole Sabaya ni Mmasai, wachaga wamekuja kuishi kama walivyohamia mkoa wa Arusha, Tanzania ni ya kila mtu.
Kajaribu uone
 
Jambazi limeuawa huko Hai, lilijaribu kupora watu fedha kwa mitutu ya bunduki, hakika MUNGU Ni mkuu Sana, pole mheshimiwa Mbowe na hongera jambazi limeondoshwa
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
 
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
 
Ole Sabaya kwenye kikao cha juzi ndani ya chama nasikia aliwaambia wana CCM kuwa jimbo hilo ni lake 2020 sasa sijajua je asili yake ni mchaga mana kwenye jamii ninayotoka mimi kuongozwa na mtu wa kuja hilo halipo
Sasa hivi yuko Selo
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
Lengai Thomas Ole Sabaya kwishnei! Utabiri wako umetimia

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Ole Sabaya kwenye kikao cha juzi ndani ya chama nasikia aliwaambia wana CCM kuwa jimbo hilo ni lake 2020 sasa sijajua je asili yake ni mchaga mana kwenye jamii ninayotoka mimi kuongozwa na mtu wa kuja hilo halipo
Halafu ameishia wapi ?
 
Back
Top Bottom