Ushauri: CCM tafuteni mtu makini wa kupambana na Bilionea Mbowe Hai, huyu mnayemtumia sasa Ole Sabaya ni sawa na kupoteza muda wenu bure

Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Hao wote watakatwa kwa kukosea kujaza fomu. Maana ndio.njia.mpya ya ushindi.kwa hisani.ya awamu ya.tano.
 
Ole Sabaya kwenye kikao cha juzi ndani ya chama nasikia aliwaambia wana CCM kuwa jimbo hilo ni lake 2020 sasa sijajua je asili yake ni mchaga mana kwenye jamii ninayotoka mimi kuongozwa na mtu wa kuja hilo halipo
Ila mmachame Lema kuongoza jimbo lillopo Mkoa wa wamasai na wameru ni sawa sio?? Tulidhani kuwa nyie upinzani mnafahamu demokrasia?? Kumbe mmejaa ukabila na ubaguzi usiowaisha.
 
After all Mh. Mbowe na chama chake watasusia uchaguzi. Hivyo, Ole Sabaya kama anashuka mlima bila kuwasha injini!!!!
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Ni upumbavu kujaribu kuwapumbaza wananchi,

mwenye uwezo wa kuwarudisha bungeni si matakwa yako, bali ni kudra za mwenyezi Mungu na kura za wananchi.

labda uwadhihirishie wananchi wewe ndiye kura zao.

Pengine katiba ibadilike. La sivyo akipangacho Mungu kamwe wewe unayejikweza huwezi kutengua.

Maana kwa kujiamini huku hata huyo unayemtegemea naye anapewa pumzi na Mwenyezi Mungu.

Kwa hiyo usipende kumpangia Mwenyezi Mungu cha kufanya.
 
Ila mmachame Lema kuongoza jimbo lillopo Mkoa wa wamasai na wameru ni sawa sio?? Tulidhani kuwa nyie upinzani mnafahamu demokrasia?? Kumbe mmejaa ukabila na ubaguzi usiowaisha.
Nitake heshima Kuniita mm upinzani tusi kubwa sana kwangu
 
Advertisement umeshiona ktk uchaguzi wa serikali za mitaa
Ni upumbavu kujaribu kuwapumbaza wananchi,

mwenye uwezo wa kuwarudisha bungeni si matakwa yako, bali ni kudra za mwenyezi Mungu na kura za wananchi.

labda uwadhihirishie wananchi wewe ndiye kura zao.

Pengine katiba ibadilike. La sivyo akipangacho Mungu kamwe wewe unayejikweza huwezi kutengua.

Maana kwa kujiamini huku hata huyo unayemtegemea naye anapewa pumzi na Mwenyezi Mungu.

Kwa hiyo usipende kumpangia Mwenyezi Mungu cha kufanya.
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu

Kabla ya huyu jamaa yupo mwingine alijimwambafai sana enzi zile wakijulikana kama Area Commissioner (ole Moloimet). Huyu nazani ni marehemu sasa ila kituo chake kilikua Rombo. Asili yake ni Masai kama huyu wa Hai awamu hii. Hata hivyo, mbona Mheshimiwa RC wa mkoa huo hasikiki kwa vituko kama vya kina DC huyu na hata wenzie ? Obviously, afanyayo DC yana mapungufu. Situkani hapa. Watanzania wote tunaoitakia mema nchi yetu hatupendezwi na UPUMBAVU wowote ule kwenye UONGOZI. On the contrary, our expectations are vested on the sanctity of leadership ethics supplimented by proven individual qualities inclusive of courage, wisdom and above all, fear of GOD.
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
huyo dj ni kapuku namba moja kashindwa hata kulipa kodi ukumbi wake wa disco umevunjwa halafu unassema bilionea? kwenu hamjui hela inaonekana wewe dada
 
Mwisho wa siku huyu mbumbumbu anayemuabudu Magufuli , siku Magufuli akitoka atafungwa jela mbaya sana
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
Ulevi wa madaraka haujawahi kumuacha mtu salama
 
Back
Top Bottom