Ushauri: CCM tafuteni mtu makini wa kupambana na Bilionea Mbowe Hai, huyu mnayemtumia sasa Ole Sabaya ni sawa na kupoteza muda wenu bure

Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Hongera Mkuu kwa utabiri.VIP kwa wanaccm wabunge gani watarudi mjengoni?
 
usicheze na pesa utaumia vibaya sana !
 
Attachments

  • VIDEO_ Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai ( 750 X 750 ).mp4
    5.1 MB
Hai. Machame ni pagumu Sana kwa Mbowe. Hai umasai na Machame juu Kuna kazi nzito. Mbowe anaweza kuanguka
 
Aisee kama sifa ya kwanza ya mtu anayepaswa kukuongoza wewe ni lazima awe mtu wa kabila lako na anayetokea eneo hilo hilo, basi na watu wa maeneo mengine watakuwa wanafanya makosa makubwa sana.

Maana nyie wachaga kuna maeneo mengi sana nchi hii mmepewa nafasi ya udiwani na ubunge ambayo sio ya kwenu kiasili.

Na endapo kama kila mtu akiamua ku reciprocate kwa hiki unachokisema, basi hii inchi itaingia kwenye utter political chaos na hatimae kuingia kwenye civil war sababu ya kugombania maeneo.

Watu wenye akili kama zako ni cancer kwa Taifa na hamstahili kuishi. Maana uwepo wako ni hatari kwa uwepo wa wengine.
Lakini ukweli ndio huo hata duka tu ukifungua hai kama siyo mmachame imekula kwako

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Majimbo hayana ukabila, huyo kijana anajitutumua kipumbavu na hana haki ya kutaka kumdhalilisha kiongozi kama Mbowe, hata sie wana CCM wengine hatuungi mkono yanayofanyika Hai hivi sasa.

Kuhusu ukabila kama ni kigezo cha mtu kuishi ama kugombea sehemu, Hai haikuwa sehemu ya wachaga bali ilikuwa sehemu ya wamasai na kama ni ukabila Ole Sabaya ni Mmasai, wachaga wamekuja kuishi kama walivyohamia mkoa wa Arusha, Tanzania ni ya kila mtu.
"Haikuwa ya wachaga"ila asaiv ya wachaga sasa nikuambie kitu mkuu ukisema ukabila haupo njoo kwetu makete mtu wa kabila jingine gombea hata ujumbe wa Tawi wakuoneshe au nenda rungwe na kyela huko wakakuambie kuongozwa na mtu wa asili nyingine kwao zambi
 
Aisee kama sifa ya kwanza ya mtu anayepaswa kukuongoza wewe ni lazima awe mtu wa kabila lako na anayetokea eneo hilo hilo, basi na watu wa maeneo mengine watakuwa wanafanya makosa makubwa sana.

Maana nyie wachaga kuna maeneo mengi sana nchi hii mmepewa nafasi ya udiwani na ubunge ambayo sio ya kwenu kiasili.

Na endapo kama kila mtu akiamua ku reciprocate kwa hiki unachokisema, basi hii inchi itaingia kwenye utter political chaos na hatimae kuingia kwenye civil war sababu ya kugombania maeneo.

Watu wenye akili kama zako ni cancer kwa Taifa na hamstahili kuishi. Maana uwepo wako ni hatari kwa uwepo wa wengine.
Aisee sio huku kwetu yaani mtu wa kuja uje kutuongoza sisi hilo halipo na haliji kutokea
 
"Haikuwa ya wachaga"ila asaiv ya wachaga sasa nikuambie kitu mkuu ukisema ukabila haupo njoo kwetu makete mtu wa kabila jingine gombea hata ujumbe wa Tawi wakuoneshe au nenda rungwe na kyela huko wakakuambie kuongozwa na mtu wa asili nyingine kwao zambi
Acha kuandika upuuzi wewe toa sababu
 
Lakini ukweli ndio huo hata duka tu ukifungua hai kama siyo mmachame imekula kwako

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Basi kama ni hivyo kuna aja ya kuwaangalia hawa watu kwa jicho la karibu na ikiwezekana kwenye suala la uongozi waishie huko huko kwao tu. Wasipewe kabisa nyadhifa yoyote ile ambayo inahusisha kuongoza watu wa maeneo mengi. Maana inaonesha wao wenyewe hawako tayari kwa wamoja na watu wengine.
 
JK pamoja na madhaifu km mwanadamu mwingine yeyote alikuwa na hekima sana :
EFxyq25XkAAeSCK.jpeg
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu

Ila kwa Heche na Mbowe ni kazi sana, kwa hao wengine ni rahisi sana kutumia "bao la mkono". 🤣🤣
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom