Ushauri: CCM tafuteni mtu makini wa kupambana na Bilionea Mbowe Hai, huyu mnayemtumia sasa Ole Sabaya ni sawa na kupoteza muda wenu bure

Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
Afadhali sasa angekuwa na akili sasa na akili hana hata kidogo
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Mkuu uko sawa kabisa! Huyu dogo kamkalia vizuri mbowe! Naukiona kelele ujue pumzi imebanwa, nataka kumwambia mh sabaya kaza uzi dogo umeshika kona zte za mbowe.
 
Sabaya nikaa la moto kwa mbowe. Hapo mbowe hagusi.tunajua anavyomvunja vunja mbowe atabaki vipandevipande. Hakuna uchaguzi mtamu km 2020.
 
Dogo bwana kamzibiti mbowe ndo maana kelele zimeanza hata km mtaondoa comment zetu ila wa tz tunafaham.
 
Humjui Mbowe na huwajui wamachame vizuri! Hakina watu wakabila Kama hao na huyo mmasai Koko ndio anawaharibia ccm kabisa! Kule machame Kuna Koo zinazoheshimika na kukubalika kwa Kika Jambo hivyo sabaya anajisumbua tu! Mbowe atashinda kwa kishindo Kama magu atakavyoshinda huko usukumani! Wachagga hawajawahi kukubali kupangiwa mbunge!
 
Sabaya nikaa la moto kwa mbowe. Hapo mbowe hagusi.tunajua anavyomvunja vunja mbowe atabaki vipandevipande. Hakuna uchaguzi mtamu km 2020.
Ombi : Utoaji mimba uhalalishwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu wanavyodhalilika
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
huyu Mungu unayemtaja bila haki nakuhakikishia wewe ni maiti tarajiwa mark my words
 
Dogo bwana kamzibiti mbowe ndo maana kelele zimeanza hata km mtaondoa comment zetu ila wa tz tunafaham.
Ukisha soma Uhuru na Tanzanite basi unajiona unajua kinacho endelea Hai.
Tafuta vyanzo vya maana utaambiwa kuwa Sabayi ndio anaimaliza CCM Hai akidhani anaijenga.
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
Habari limetikiswa na kijana Mdogo
 
Napenda kuwahakikishia kuwa
Lema.
Msigwa
Mbowe
Mdee
Heche
Esta bulaya
Zito kabwe
Hawa wote 2020 hawatarudi bungeni lkn Sugu atapona atarudi mjengoni hao waliobaki watake wasitake bungeni hawatorudi
MARK MY WORDS
Na Mungu atujaalie uhai tu
Sugu ni mhuni tu huyo ndo wa kwanza kutorudi!! Mark my words!!
 
DJ Makengeza ni mzee, mlemavu, mzinzi na Joy wake, mwizi wa ruzuku na michango ya Saccoss ya Chadema, ni msela na mpinga juhudi tayari siasa zimemtupa mkono , hata apambanishwe na jiwe , jiwe litashinda!!
 
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa mbele ya wakuu wa TRA kwamba anatumia mtutu wa bunduki kuomba rushwa ndogo hadi ya mil 2 za madafu , huyu hawezi kupambana na Tajiri Mbowe hata mkimkabidhi jeshi lote la polisi .

Freeman Mbowe atadhibitiwa kisiasa na mtu mwenye hoja za kisiasa aliyejaa utajiri wa wema na roho ya kibinadamu mwenye ushawishi , Mbowe ni jabali la kisiasa la nchi hii , huyu kauli zake ndio zinazotoa mwelekeo wa nchi , Mbowe ndiye dira ya Taifa , mipango yote ya kudhibiti siasa za nchi hii inapangwa baada ya Mbowe kuzungumza , Jabali kama hili haliwezi kutishwa na kijana mdogo asiye na kitu kama huyu Sabaya , na akiendelea na siasa za kishamba kutoka kwa wanaomtuma atakuja siku moja kukutwa mlangoni kwa Mbowe kapiga goti kuomba msamaha .

Kwa ufupi sana huu ushauri ninaowapa muuzingatie , Majuto ni mjukuu
Tunazidi kusisitiza
 
Back
Top Bottom