Ushauri: Bed is Everything...

Ushauri: Bed is Everything...

Mtu awe kama gogo au kibamia mradi kuna pesa . ..hamna shida . ..kwani mtu wa mkokoteni na mfagia barabarani anaviweza vyote hivyo vya kitandani ..lakini PESA . .acha maneno . .SHKAMOO PESA . .
Umejitekenya alafu unacheka mwenyewe... Ona sasa mifano uliyojitolea imekufunga mwenyewe... Ofcoz kama pesa ingekuwa ndo kilakitu basi wasukuma mikokoteni na wafagiaji barabara wangekuwa mabachela
 
Mi nikimpata anaezungusha feni na sio bikra namuacha.
Atakua kafunzwa na nani?!
 
Utamu wa kweli ni ridhiko liwe la kukurukakara au mwendo wa kinyonga. Mradi mshindo uwe ule wa karibu kupoteza fahamu
Kinachotakiwa ni midundo iende sawa, sio huyu anacheza ngololo yule anacheza rumba
 
Umejitekenya alafu unacheka mwenyewe... Ona sasa mifano uliyojitolea imekufunga mwenyewe... Ofcoz kama pesa ingekuwa ndo kilakitu basi wasukuma mikokoteni na wafagiaji barabara wangekuwa mabachela
Naona wewe ndiyo umejifunga kweli kweli maana kwa kifupi ngono haileti mkate mezani . ..fanya kazi acha kuwaza mangono . ..Bye-bye
 
Tena msivuruge mashuka kitandani kwa sababu ni sehemu moja tu inayotakiwa icheze ambayo ni kiuno.Demu aliyefundwa mnamaliza mchezo kitanda kikiwa smart vilevele
Kwani kuvuruga mashuka mnakuwa mmeplan before?? Au inatokea tu bila kujijua?
USIFANYE MCHEZO NA NGOMA IKIKOLEA
 
Back
Top Bottom