Ushauri: Bed is Everything...

Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!

unaweza zungusha nyonga kama pangaboi na bado ukaachwa ..nyooo
 
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
Nani kasema kwamba Bed ni kila kitu wewe!! Labda ni kila kitu kwa wanaume wenye akili za ngono kama zako, kama Bed ingelikua ni Every thing in Marriage &relationship basi waluka sort a.k.a Makahaba wa viwango wangelikua wameshaolewa wote,maana wale ndio penis experienced kuliko hata sisi, jifunze kakangu ndoa ni Mahaba na mahaba sio ngono tu!!
mahaba ni mapishi,
Mahaba ni kauli (ulimi),
Mahaba ni usafi wa mwili,moyo na akili,
Mahaba ni kujituma, ukiwa na mwanamke wa namna hiyo mapungufu yake ya kitandani utayaona ni makamilifu yanayotibika tu na mwishowe utayazoea! Kumbuka ngono ni kitendo cha masaa au dk kadhaa, katika masaa 24 ya usiku na mchana kitandani tunakutana kwa masaa hayazidi 8 (kwa wengi wetu tunalala saa 4 usiku na kuamka saa 12 asubuhi) na kwenye masaa hayo nane 8 tuna kwichi kwichi kwa dk 20 tu kwaiyo usijidanganye na usiwadanganye wenzio
 
Mtu awe kama gogo au kibamia mradi kuna pesa . ..hamna shida . ..kwani mtu wa mkokoteni na mfagia barabarani anaviweza vyote hivyo vya kitandani ..lakini PESA . .acha maneno . .SHKAMOO PESA . .
 
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
Aiseeee....., ni castle lager au kalusekelo kadogo unatumia wakuletee bradha...!? Umenena yakaneneka..
 
Tena msivuruge mashuka kitandani kwa sababu ni sehemu moja tu inayotakiwa icheze ambayo ni kiuno.Demu aliyefundwa mnamaliza mchezo kitanda kikiwa smart vilevele
 
Sio weak...

I do for pleasure..

Sio nikukurukeeeeee eti ili mwanaume asiniache.

Unaweza ukukuruke,utoe na visivyotolewa na kuchwa uachwe..

Mna jema kwani?
Ngoja kwanza......, we toa ushirikiano wa kutosha, toa hiyo mambo vizuri then na mie nifumue invyotakiwa hadi utamani kuimwagia maji ya baridi kwa nn tuje achana mama..? Love infact a love affair kind of is a two way traffic thing. Nipe, nikupe
 
Nani kasema kwamba Bed ni kila kitu wewe!! Labda ni kila kitu kwa wanaume wenye akili za ngono kama zako, kama Bed ingelikua ni Every thing in Marriage &relationship basi waluka sort a.k.a Makahaba wa viwango wangelikua wameshaolewa wote,maana wale ndio penis experienced kuliko hata sisi, jifunze kakangu ndoa ni Mahaba na mahaba sio ngono tu!!
mahaba ni mapishi,
Mahaba ni kauli (ulimi),
Mahaba ni usafi wa mwili,moyo na akili,
Mahaba ni kujituma, ukiwa na mwanamke wa namna hiyo mapungufu yake ya kitandani utayaona ni makamilifu yanayotibika tu na mwishowe utayazoea! Kumbuka ngono ni kitendo cha masaa au dk kadhaa, katika masaa 24 ya usiku na mchana kitandani tunakutana kwa masaa hayazidi 8 (kwa wengi wetu tunalala saa 4 usiku na kuamka saa 12 asubuhi) na kwenye masaa hayo nane 8 tuna kwichi kwichi kwa dk 20 tu kwaiyo usijidanganye na usiwadanganye wenzio
Kama tendo sio kilakiti mbona nguvu zikiisha mnaanza kutafuta michepuko na mbinu za kumwagana?
 
Umeongea ukweli stunter tatizo lenu unaweza jituma weeh na kutoka nje mnatoka hamna jema nyie viumbe
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom