silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Lakini hili ndio jukwaa husika kwa mambo hayo!sisi tunafikiria kuanzisha viwanda nyinyi mnawaza ngono. alaaaaah..!
Lakini hili ndio jukwaa husika kwa mambo hayo!sisi tunafikiria kuanzisha viwanda nyinyi mnawaza ngono. alaaaaah..!
True..Uonevu wa nini? Aliyekwambia ndoa au mahusiano ya kudumu ni kukata nyonga kama feni atakua kakudanganya
Hakika Mkuu!True..
Kuna ile mijimama mikurumbembe mishangingi ya mjini yenyewe yanajiita "makwingwi"
Kwenye kitchen party yanafundisha kukata mauno lakini unakuta yameachika kwenye ndoa zaidi ya 7.
Mahusiano ni kama jengo,limejengwa kwa tofali,nondo,bati,mbao,rangi n.k. ili liitwe jengo ni lazima kuwe na composition ya material iliyolifanya lisimame.
Hayo na kukata mauno kama feni halafu utu sifuri haku garantee kudumu kwenye mahusiano. Labda kama umenuia kucheza pono.
Gonga mkono wako, cha bure salamu tuNdomanake, so muwe free tukiwagonga bure
kijana una maneno???? hadi nimejikuta nacheka mieWadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
Anakuhamasisha uwe gume gumekijana una maneno???? hadi nimejikuta nacheka mie
Uonevu wa nini? Aliyekwambia ndoa au mahusiano ya kudumu ni kukata nyonga kama feni atakua kakudanganya
wanafunzi watakuponza kijana! hizi kukuru kakara sio za msichana mtu mzima kabisauanze kumvua,umshushe kidaka,umlazmishe alale kama ugomvi vile,uinue mguu,akwepeshe mdomo,akutoe mkono usishike hapo mwisho abane hata miguu.afu ukitoka hapo eti nitumie 40000 ya lesiwigi
wifi weweeee, acha hizo bhanaAnakuhamasisha uwe gume gume
Niko poa wifi majukumu tu ya aunt zako mamawifi weweeee, acha hizo bhana
Btw how have you been.
Basi sawanimeshangaa tu 20 mins.......kukata nyonga wala sio tatizo sana
Style gani unakatika sn?!Mmmh inategemea na style babu sio kila style mtu akatike. Kujifanya yondo sister mtu ateguke nyonga kisa biringanya 2 au kuna mengine.
Midume yenyewe isiyoridhika![]()
Labda yanakata sana mauno mpk waume zao wanavunjka nyonga inabidi watoe talakaTrue..
Kuna ile mijimama mikurumbembe mishangingi ya mjini yenyewe yanajiita "makwingwi"
Kwenye kitchen party yanafundisha kukata mauno lakini unakuta yameachika kwenye ndoa zaidi ya 7.
Mahusiano ni kama jengo,limejengwa kwa tofali,nondo,bati,mbao,rangi n.k. ili liitwe jengo ni lazima kuwe na composition ya material iliyolifanya lisimame.
Hayo na kukata mauno kama feni halafu utu sifuri haku garantee kudumu kwenye mahusiano. Labda kama umenuia kucheza pono.
Ha ha ha haaaaaaLabda yanakata sana mauno mpk waume zao wanavunjka nyonga inabidi watoe talaka
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi