Ushauri: Baba anampendelea mke mdogo kuliko wa ndoa

Ushauri: Baba anampendelea mke mdogo kuliko wa ndoa

We tafuta maisha yako uje umkumboe mama yako na ndugu zako usiangalie mali za baba yako manake zitakuumuza tu moyo wako MUNGU awezi kumtupa mja wake mwenyewe siku atakuja akikwambia "mwanangu shetani alinipitia"
 
Umeshauriwa vyema. Tumia manyanyaso positively kwa kukomeshea kusaka maisha. Tafuta vyako, jengea mama yako nyumba na ujenge za kwako. Huyo baba hajui mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Umeshauriwa vyema. Tumia manyanyaso positively kwa kukomeshea kusaka maisha. Tafuta vyako, jengea mama yako nyumba na ujenge za kwako. Huyo baba hajui mbio za sakafuni huishia ukingoni.

Unajua sina usingizi kabisa. Paw yupo? #toroka uje
 
Baba yangu ana wake wengi tu wa kutosha japo ni mkristu, lakini kati ya hao wengi watatu tu ndo wanofahamika, ila amekuwa akipendelea sana nyumba ndogo kuliko familia yangu (mke wa ndoa) yani akija nyumbani ni kutufokea 24-7, hana zuri hata moja kwetu sisi, huyu mke wa pili kajengewa bonge la jumba maeneo ya Kange Tanga hilo jumba linaitwa white house.

Kanunuliwa mashamba in short yuko vizuri, sisi kuna nyumba tunakaa aliijenga yeye mwenyewe mzee mpaka sasa hatujui hiyo ni nyumba ya nani japo tunaishi, tukiimuliza anakuwa mkali sana mpaka tunatetemeka, some time anatutamkia kuwa vitu hivi nivya mke mdogo, hata sielewi tumfayaje maana kila kitu ni cha nyumba ndogo.

Some time anakudhihaki mtu unatamani umjibu vibaya, ila ndo hivo unapga moyo konde, nishaurini niseme nae kwa njia gani huyu mzee atuelewe sisi watoto wake/ na huyu bi mdogo nimfanye nini? Maana kama ni dawa huyu bi mdogo amezidisha, hatuna raha na baba hata kidogo.

Una umri gani
 
Waanze kutafuta vyao..., urithi washaambiwa unaenda kwa bi mdogo!
TINDIX, kama umeshafikia umri wa kujitegemea anza ku-hustle uwe na vyako achana na mawazo ya kusubiria toka kwa baba! Kingine, endelea tu kumuheshimu mshua wako hata kama ni mkali na anatoa kauli za kukera.

Huyo baba sio mzima kabisa
 
awawezeshe basi hata mtaji ili waendelee maana inaonekana anazo
kama anajengea bi mdogo white house anashindwa kusaidie watoto wake wa mke wa kwanza
Baba keshashikwa

Wambane watoke

Wakiendelea kumsubiria awatoe itakula kwao

Waungane na mama yao wapambane tu.... akifukuzwa small house ataenda watamstiri [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Baba keshashikwa

Wambane watoke

Wakiendelea kumsubiria awatoe itakula kwao

Waungane na mama yao wapambane tu.... akifukuzwa small house ataenda watamstiri [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kweli kabisa inabidi wawe serious maana huyo mama wa pili kawakuta
 
Mkuu kwan una umri gan samahan lakin if it's too personal
 
MI niwe tofaut mke wa ndoa anahaki yakujua mali Za mumewe kwa ajili ya faida Za watoto wake Ata kama mumewe amemtelekeza ningeshaur kama Kuna ndugu wa baba yako ambaye yupo upande wako mngeongea nae ili mjue umiliki wenu mana cku huyo cjui mshua mungu akimchukua na mkute hiyo nyumba mnayoidh kashamwandika bi mdogo lazima mtafukuzwa na kama Kuna watoto wadogo watateseka kama ww ni wakiume simama kutetea haki Za mama yako ikiwa ni nyumba, viwanja na mengineyo
 
Wazazi tunakazi sana ,Unamuowa mke pekee , anapata watoto yupo katulia tu tena mpolee ,Kosa Watoto Wakuwe,,Vikao vinaanza. Watakujadili mpaka Wanashindwa kusoma Matokeo yake Wanaanza kukuchahulia Maisha yaani kuishi wao wanavyotaka Mwisho siku wanapanga kukuuwa ,,Ila Ushauri Wangu Naomba Mwacheni Mzee afanye atakacho ,,Coz yeye ndo anafahamu mapungufu ya mama yenu ,Uzuri mmesema Mashamba amenunua Urithi wenu upo tu Wala Msianze kuweka vikao sijui hiki cha nani Hiyo hata sisi IPO ila tumemwacha afanye Ajuavyo Sisi tunatumijengo twetu,,tayari so Ma mdogo Atachukua tu maana Ndo kiburudisho cha Father
 
poleni sana, kama mmeshaanza kujitambua ni muda wenu wa kuanza kujitafutia vyenu na kwa ajili ya watoto wenu bila kumsahau mama yenu. Mwenyezi Mungu atawasaidia na mtafanikiwa zaidi ya baba yenu
 
Wanaume tulieni hizo nyumba ndogo zinaumiza alisema kwamba asumfuatie mzaz wake nadhan cyo sahihi utapata raha Gan mama yako anateseka hapo afu Kuna mwanamke pemben anaponda Ela Za mzee nyiny watoto mnaona na mnateseka usishaur as if uko dunia nyingine wanaume mjue Hao wake zenu nao wanamioyo kama umeamua kuhamisha mapenz nje bas mjali yule mliyeanza nae katika shida leo unamali unapeleka kwa anayejua kutumia, inaima Sana, kama huyu mama angeamua amuue huyo baba wakose wote ingekuwaje, wanaume wapenden wake zenu wanavumilia ming madhaifu na pia wanawatunza watoto wenu, waeshimuni acheni kuwatesa
 
Naungana na wadau waliokutaka ww kufanya kazi kwa bidii kupigania vision yako kwanza achana kabisa kujiingiza kwenye ndoa ya wazazi wako msaidie Mama yako kadri ya uwezo wako na sio kupambana na Baba yako
Mchukulie kama kuna kitu kimempotea mambo ya mahakamani sijui nini its nonsense!!!! Think beyond pals!!
Masinki
 
MAHUSIANO YA BABA UNAYAANGILIA...UNA MIAKA MINGAPI NA JINSIA YAKO IPI..ACHANA NA DHANA YA MALI TAFUTA VYAKO
 
Baba yangu ana wake wengi tu wa kutosha japo ni mkristu, lakini kati ya hao wengi watatu tu ndo wanofahamika, ila amekuwa akipendelea sana nyumba ndogo kuliko familia yangu (mke wa ndoa) yani akija nyumbani ni kutufokea 24-7, hana zuri hata moja kwetu sisi, huyu mke wa pili kajengewa bonge la jumba maeneo ya Kange Tanga hilo jumba linaitwa white house.

Kanunuliwa mashamba in short yuko vizuri, sisi kuna nyumba tunakaa aliijenga yeye mwenyewe mzee mpaka sasa hatujui hiyo ni nyumba ya nani japo tunaishi, tukiimuliza anakuwa mkali sana mpaka tunatetemeka, some time anatutamkia kuwa vitu hivi nivya mke mdogo, hata sielewi tumfayaje maana kila kitu ni cha nyumba ndogo.

Some time anakudhihaki mtu unatamani umjibu vibaya, ila ndo hivo unapga moyo konde, nishaurini niseme nae kwa njia gani huyu mzee atuelewe sisi watoto wake/ na huyu bi mdogo nimfanye nini? Maana kama ni dawa huyu bi mdogo amezidisha, hatuna raha na baba hata kidogo.
Hama nyumbani, jitegemee uwe na Mali kama za mzee
 
Dogo achana na hivyo vitu, soma kijana, kama ulifeli form 4 rudia shule usome, kama uliishia Darasa la saba Rudi shule tafadhari, mbona wewe naona mafanikio yako yapo karibu? ni wewe tu kujiongeza kidogo sana Mungu atakufunulia, Mm ninayekwambia hivi ni shahidi na ni muhanga wa hilo kwa mama yangu mzazi na mzee, lakini nilisoma kwa uchungu sana hadi sasa nimefanikiwa kupata kazi, na nimejenga huko kijijini nyumba nzuri tu na mama yangu mzazi anaishi na nimejenga yangu huko huko kijijini nimeweka wapangaji, na sasa najenga yangu nyingine huku napofanyia kazi, so kijana Soma sana au Rudi shule
 
Baba yangu ana wake wengi tu wa kutosha japo ni mkristu, lakini kati ya hao wengi watatu tu ndo wanofahamika, ila amekuwa akipendelea sana nyumba ndogo kuliko familia yangu (mke wa ndoa) yani akija nyumbani ni kutufokea 24-7, hana zuri hata moja kwetu sisi, huyu mke wa pili kajengewa bonge la jumba maeneo ya Kange Tanga hilo jumba linaitwa white house.

Kanunuliwa mashamba in short yuko vizuri, sisi kuna nyumba tunakaa aliijenga yeye mwenyewe mzee mpaka sasa hatujui hiyo ni nyumba ya nani japo tunaishi, tukiimuliza anakuwa mkali sana mpaka tunatetemeka, some time anatutamkia kuwa vitu hivi nivya mke mdogo, hata sielewi tumfayaje maana kila kitu ni cha nyumba ndogo.

Some time anakudhihaki mtu unatamani umjibu vibaya, ila ndo hivo unapga moyo konde, nishaurini niseme nae kwa njia gani huyu mzee atuelewe sisi watoto wake/ na huyu bi mdogo nimfanye nini? Maana kama ni dawa huyu bi mdogo amezidisha, hatuna raha na baba hata kidogo.

mke mdogo anajua kupetipeti...anampa mzee styl zote na kukata mauno..pia yaonyesha uchi wake una laza tamu ndo maana baba kapagaawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom