Ushauri: Anadai mtoto ni wa kwangu

Ushauri: Anadai mtoto ni wa kwangu

Kama ni mwanao sawa lakini Amezaliwa na kulelewa kwenye himaya nyingine.. Na hataka kama ni mwanao huwezi enda kwenye hio himaya kumchukua... Angalizo.. Kama awali alikuhadaa ukaumia sana awamu hii anakuhadaa ufe... [HASHTAG]#mke[/HASHTAG] wa mtu sumu
 
Kuwa mkali na mwenye msimamo, hivi mwanaume utapelekwa vipi na mwanamke kiasi hicho!! Ukiona kero zinazidi na yeye anajifanya kichwa ngumu mwambie utamtaarifu mumewe jinsi anavyokusumbua halafu inaonekana huyo dada hana akili.
 
Nyie ndiio wanaume wakupiga bastola,hamfai katika awamu hii ya tanzania ya viwanda.
 
Mchunie kwani si ushaoa uyo ni mjinga yaani MTU anakuambia anaenda kutafuta Mali kwa mtaji Wa mwili wake bado unamuona Ana maana je unajuaje uyo mtoto mko mababa wengine zaidi ya huyo wewe mchunie tu anatafuta njia ya kuharibu ndoa yako uwe mchepuko wako alikuona una thamani akatafuta mwenye Mali
asante mkuu kwa ushauri
 
Vunga tu,mbona wanaolea watoto wa wengine ni wengi sana,inakadiriwa 53% ya wanaume Tz wanalea watoto ambao sio wa kwao,hata wewe unaweza kuwemo ila ili kujifariji utakataa ni kutoa baadhi ya vithibitisho.Ukiibua hilo jambo madhara yatakayotokea wote mtajuta,kwa sababu hata huyo mama hakukupenda ndio maana alienda kwa huyo jamaa,mapenzi ya kweli huyo demu angeoana na wewe kwa shida na raha ili mtafute wote baadae.Ila hata huyo mama ameharibu kukupa taarifa za mtoto,wengi hukausha tu....
hahaha nimekuelewa mkuu sana tu[emoji38][emoji38][emoji38] shukran kwa mchango wako
 
Endelea kujichunga sana mkuu mwambie utaki mazoea
sawa mkuu maana katika michango mingi ya wadau umu ,nimejifunza vingi na nimepata njia sahihi ya kuondoa tatizo langu!
 
Kama ni mwanao sawa lakini Amezaliwa na kulelewa kwenye himaya nyingine.. Na hataka kama ni mwanao huwezi enda kwenye hio himaya kumchukua... Angalizo.. Kama awali alikuhadaa ukaumia sana awamu hii anakuhadaa ufe... [HASHTAG]#mke[/HASHTAG] wa mtu sumu
sawa mkuu nimekuelewa na shukran kwa mchango wako
 
Kuwa mkali na mwenye msimamo, hivi mwanaume utapelekwa vipi na mwanamke kiasi hicho!! Ukiona kero zinazidi na yeye anajifanya kichwa ngumu mwambie utamtaarifu mumewe jinsi anavyokusumbua halafu inaonekana huyo dada hana akili.
kama ulikuwepo maana yeye anachosema mie ndo chaguo lake yaan aiseee simwelewi kabisa yaan maana kama chizi vile
 
Nyie ndiio wanaume wakupiga bastola,hamfai katika awamu hii ya tanzania ya viwanda.
mkuu angalia na ww tu usipigwe mastola ,maana haya hayana mmoja na wakat mwingine unaweza ukaingia kwenye tatizo bila kujua ukaambiwa yuko single kumbe mke wa mtu bora mie nileyejua[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Niliangalia sinema ya ki-Nigeria, kisa kinafanana na hiki, marafiki wawili walisoma wote mpaka university, walioa na kuanza familia, mmoja alipata safari ya kwenda ulaya, shemeji akienda kumjulia shemeji hali wakati rafiki yuko safarini akaishia kumpa shemeji mimba, mwenye mke aliporudi maisha yaliendelea, mama alijifungua mtoto wa kiume, rafiki ambae ndiye biological father akawa God father wa mtoto.

Kasheshe ni kuwa familia zote zilikuwa na mabinti na huyu mvulana alikuwa ndiyo wa kiume pekee, baba anaejulikana alikuwa anajitamba kwa rafiki yake kuwa angalau ana mrithi wa mali, hakujua kidonda alichokua anamtonesha rafiki yake. Yule mtoto alipokuwa anakwenda university, God father alimnunulia zawadi ya gari mpya, baba hakushtuka akijua ni baba yake wa kiroho.

Biological father alipata ugonjwa na ilibidi aongezewe damu, alipendekeza kijana aitwe kutoka chuo, hapo ndiyo baba anaejulikana aligundua, ilikuwa kasheshe, mama ilibidi amueleze mumewe ukweli, mzee alikufa kwa heart attack, mabinti walimsusa mama kuwa amesababisha kifo cha baba yao.

Ni kheri kusahau madhara yake ni makubwa sana.
 
ndo maana mimi sihangaiki na mtoto wa kaka maana nakuwa sina uhakika kama ni mwanae kweli .ila wewe mkuu mpotezee tu
 
Duh mkuu umenisisimua na iyo movie yaan kama najiona vile [emoji2][emoji2][emoji2] haya maisha kama snema vile
 
ndo maana mimi sihangaiki na mtoto wa kaka maana nakuwa sina uhakika kama ni mwanae kweli .ila wewe mkuu mpotezee tu
hahaha umeniacha hoi mzee mwenzangu [emoji2][emoji2]
tanx kwa ushauri
 
Ila hata hilo lina suluhisho jepesi, mwambie we umeshaoa hautaweza kumwacha mkeo, kwanza hilo then kuusu hayo ayatakayo kwa mwanae mwambie kwanza amjulishe mumewe kuwa mtoto si wake ili we uwe nae huru, najua atashindwa na hiyo kero itakutoka kihivy

You spoke my mind, kama mtoa mada yupo serious afuate huu ushauri mwepesi
 
Muulize mamaako nin cha kufanya. Akina mama wana mipango mkakati ambayo huwez hata kufikiria
 
Niliangalia sinema ya ki-Nigeria, kisa kinafanana na hiki, marafiki wawili walisoma wote mpaka university, walioa na kuanza familia, mmoja alipata safari ya kwenda ulaya, shemeji akienda kumjulia shemeji hali wakati rafiki yuko safarini akaishia kumpa shemeji mimba, mwenye mke aliporudi maisha yaliendelea, mama alijifungua mtoto wa kiume, rafiki ambae ndiye biological father akawa God father wa mtoto.

Kasheshe ni kuwa familia zote zilikuwa na mabinti na huyu mvulana alikuwa ndiyo wa kiume pekee, baba anaejulikana alikuwa anajitamba kwa rafiki yake kuwa angalau ana mrithi wa mali, hakujua kidonda alichokua anamtonesha rafiki yake. Yule mtoto alipokuwa anakwenda university, God father alimnunulia zawadi ya gari mpya, baba hakushtuka akijua ni baba yake wa kiroho.

Biological father alipata ugonjwa na ilibidi aongezewe damu, alipendekeza kijana aitwe kutoka chuo, hapo ndiyo baba anaejulikana aligundua, ilikuwa kasheshe, mama ilibidi amueleze mumewe ukweli, mzee alikufa kwa heart attack, mabinti walimsusa mama kuwa amesababisha kifo cha baba yao.

Ni kheri kusahau madhara yake ni makubwa sana.
inaitwajee hii muvi?
 
Back
Top Bottom