Ushauri: Anadai mtoto ni wa kwangu

Bora umejiwahi kusema hutaki matusi maana hakika ndio unachostahili
 
Mara nyingi kwenye michezo ya hatari tuichezao na hao viumbe lazima tuwashikie akili zao vinginevyo watakupeleka shimoni.
dah kweli nimekupata kiongozi shukran kwa kunifunuwa mawazo
 
Hayo mbona hata Mimi yalinikuta ila nilimwambia kitu kimoja TU kwamba akifikisha miaka kumi anitafute nitajua nifanye nini na hata siwezi kusogelea huko kwake coz Mtoto ni copy yangu
Umenifariji mkuu nilidhani niko peke yangu ,na ntafata nyao zako mkuu
 
Ila hata hilo lina suluhisho jepesi, mwambie we umeshaoa hautaweza kumwacha mkeo, kwanza hilo then kuusu hayo ayatakayo kwa mwanae mwambie kwanza amjulishe mumewe kuwa mtoto si wake ili we uwe nae huru, najua atashindwa na hiyo kero itakutoka kihivyo.
asante sana
 
Kila ukipita humu unazidi tu kupata negative hopes za mapenzi, sasa hapa huyo Mme MTU akija kujua unadhani nini kitafata!!!

Tuombee kizazi chetu kijacho!!
haya mambo hata zamani yalikuwepo ila tofauti ya zamani na sasa saiv yako wazi sana nilishakaa na wazee nikawauliza ivi ni sisi tu au hata nyie ,mzee mmoja alinijibu hata wao walikuwa wanateleza ila kilichowasaidia walikuwa wanabusara na wasiri sana ,inamana waliyamaliza bila watu kujuwa ,ila sisi wa sasa hatuna siri kabisa
 
Bora umejiwahi kusema hutaki matusi maana hakika ndio unachostahili
huo ni mtazamo wako mkuu ila kaa ukijua matatizo hayana mmoja na hakuna alokamilika kila mtu anakosea ,kumtukana mtu hakufuti kosa
unaweza ukanitukana mara nyingi upendavyo ila kaa ukijua ni deni unalojikopesha mwenyewe na ipo siku utalipwa
 
Mchunie kwani si ushaoa uyo ni mjinga yaani MTU anakuambia anaenda kutafuta Mali kwa mtaji Wa mwili wake bado unamuona Ana maana je unajuaje uyo mtoto mko mababa wengine zaidi ya huyo wewe mchunie tu anatafuta njia ya kuharibu ndoa yako uwe mchepuko wako alikuona una thamani akatafuta mwenye Mali
 
Vunga tu,mbona wanaolea watoto wa wengine ni wengi sana,inakadiriwa 53% ya wanaume Tz wanalea watoto ambao sio wa kwao,hata wewe unaweza kuwemo ila ili kujifariji utakataa ni kutoa baadhi ya vithibitisho.Ukiibua hilo jambo madhara yatakayotokea wote mtajuta,kwa sababu hata huyo mama hakukupenda ndio maana alienda kwa huyo jamaa,mapenzi ya kweli huyo demu angeoana na wewe kwa shida na raha ili mtafute wote baadae.Ila hata huyo mama ameharibu kukupa taarifa za mtoto,wengi hukausha tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom