Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

Kwasisi wavisiwani ndio panapo ukakasi wa kuoa upande wa mainland ,Tunatumia zaidi sheria za kidini.Mahari ni mali ya mke.Haya hakuna ukakasi kuondoka navyo na Pia Kila alichochuma mwanamke ni mali yake .Hakuna sheria ya kupata mgao wa mali za baba kisa alizipata mukiwa wote .
 
Let it go mkuu


Heshima yangu na upendo wng kwake ilikuwa kubwa sn lkn i learnt my lesson.


Kuwa offended early morning kunaharibu cku yako
Pole mkuu achana nae huyu mapozi kibao unaweza kukuta miguu yote ya kushoto...twende jukwaa la wakubwa ukapunguze machungu
 
Kuna dada yangu aliolewa na ameishi na mume wake kama miaka 6 hivi wamebahatika kupata watoto na wako na mali nyingi sana kwa kweli, sasa juzi kumetokea mgogoro kati yao juu ya mali.

Mume alimpigia simu make wake na akamuamuru mali zote ampe mtoto wake (wa mke mwengine) yule dada akatoa mali nyingi kumpa lakini baadae akaone haelewi kuna mali kidogo akazuia baada ya kuzuia ikamsababishia talaka tatu na kumwambia toka hapo haraka sana, mke akatoka na hakutoa kitu kwa siku ile.

Jana ameenda na kukuta nyumba wamevunja vitasa vyote na kuweka vipya (watoto wa mambo hao na mama yao) mume mpaka leo hajulikani alipo na hana mawasiliano.

Ushauri wenu nini afanye huyu mwanamke kupata vitu vyake vilivyokuwemo ndani? Na juu ya hudumu za watoto?

Tafadhalini sana
Talaka ni sawa mtu aliefukuzwakazi kwa kawaida mtu akifukuzwa kazi huwa hapewi mafao yake
hata hivyo swala ndoa ni swala la kiimani hivyo inategeamea imani ya wanandoa hao ilikua ipi yaani ndoa yao ilifungwa wapi msikitini kanisani bomani au nyumbani na kama nyumbani ilifungwa kwa mila ipi islam kirsto au kwa shalia ya kimila?
jibu la hapo ndilo litatuongoza wapi tuelekee wapi panapotokea migogolo
 
Umeshapoteza marafiki wawili leo
naomba wewe unisamehe kwanza kwa kukukwaza na uniombee msamaha kwa yule wa pili.

serious sipendi kutengeneza maadui ila marafiki.
 
naomba wewe unisamehe kwanza kwa kukukwaza na uniombee msamaha kwa yule wa pili.

serious sipendi kutengeneza maadui ila marafiki.
From bottom of my heart mm siwezi kuwa rafiki yako kbs


Msamaha uliomba ukasamehewa but sidhani km he wants everything to do with you,see the way ur ignored


Bein nice sio kitu cha gharama
 
From bottom of my heart mm siwezi kuwa rafiki yako kbs


Msamaha uliomba ukasamehewa but sidhani km he wants everything to do with you,see the way ur ignored


Bein nice sio kitu cha gharama
ok asante kwa majibu nimeyapokea.
 
Talaka ni sawa mtu aliefukuzwakazi kwa kawaida mtu akifukuzwa kazi huwa hapewi mafao yake
hata hivyo swala ndoa ni swala la kiimani hivyo inategeamea imani ya wanandoa hao ilikua ipi yaani ndoa yao ilifungwa wapi msikitini kanisani bomani au nyumbani na kama nyumbani ilifungwa kwa mila ipi islam kirsto au kwa shalia ya kimila?
jibu la hapo ndilo litatuongoza wapi tuelekee wapi panapotokea migogolo
Ndoa ya kiislam.shida inakuja hapa.alimuwachisha Nazi take kwa ahadi ya kumlipa mshahara anaopokea kila mwezi na ahadi nyingi zaidi juu ya maisha take lkn hakuna alilotekeleza hata moja.karibu saana
 
Alimuachisha kazi take na kuahidi kumlipa mshahara wake kila mwezi lkn hakutekeleza.mshahara wake ulikuwa laki sita kwa mwezi piga hesabu kwa miaka sita.
 
Back
Top Bottom