Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

Nevermind....m sorry 4 askn n it wont happen again
Usifanye hvyo. U are free to ask anything only be smart enough to face the challenges of replies. I see u do understand.
Ingekuwa mwingine angekuja na shobo nyingiii.
Please go on. I like challenges[emoji85]
 
Kuna dada yangu aliolewa na ameishi na mume wake kama miaka 6 hivi wamebahatika kupata watoto na wako na mali nyingi sana kwa kweli, sasa juzi kumetokea mgogoro kati yao juu ya mali.

Mume alimpigia simu make wake na akamuamuru mali zote ampe mtoto wake (wa mke mwengine) yule dada akatoa mali nyingi kumpa lakini baadae akaone haelewi kuna mali kidogo akazuia baada ya kuzuia ikamsababishia talaka tatu na kumwambia toka hapo haraka sana, mke akatoka na hakutoa kitu kwa siku ile.

Jana ameenda na kukuta nyumba wamevunja vitasa vyote na kuweka vipya (watoto wa mambo hao na mama yao) mume mpaka leo hajulikani alipo na hana mawasiliano.

Ushauri wenu nini afanye huyu mwanamke kupata vitu vyake vilivyokuwemo ndani? Na juu ya hudumu za watoto?

Tafadhalini sana
Kwa maelezo ya talaka kuna makosa hapo. Hakuna talaka TATU zinazotolewa kwa pamoja. Hiyo inahesabika moja. Na kisheria anatakiwa akae hapo hapo kwa mwezi mmoja kabla hajatoka. Hiyo ndio shida ya kuwa muumini JINA tu. Alitoka kwa sharia ipi? Wajuzi wataelezea zaidi.
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu.sasa uyo mume hayupo na Hanna mawasiliano sasa VP hapo ?mahakama inaweza kupitisha uwamuzi?sababu mlalamikiwa hayupo..
Si mume ana ndugu kwan hana ndugu
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu.sasa uyo mume hayupo na Hanna mawasiliano sasa VP hapo ?mahakama inaweza kupitisha uwamuzi?sababu mlalamikiwa hayupo..
Kutokupatikana au kuonekana kwa mlalamikiwa sio sababu ya msingi ya kesi kuendelea, kuna vitu kama anuani ambavyo kisheria vinatumika kumuita mlalamikiwa kwa kutumia summons (wito wa kuhudhuria mahakama wenye muhuri wa mahakama,tarehe,siku na mahali shauri husika litakapotajwa kwa kusikilizwa) na summons hiyo hupelekwa kwenye nyumba au kutumwa kwa posta na hata kutangazwa gazetini na ikipita muda maalum kisheria shauri linasikilizwa upande mmoja.
 
Kuna dada yangu aliolewa na ameishi na mume wake kama miaka 6 hivi wamebahatika kupata watoto na wako na mali nyingi sana kwa kweli, sasa juzi kumetokea mgogoro kati yao juu ya mali.

Mume alimpigia simu make wake na akamuamuru mali zote ampe mtoto wake (wa mke mwengine) yule dada akatoa mali nyingi kumpa lakini baadae akaone haelewi kuna mali kidogo akazuia baada ya kuzuia ikamsababishia talaka tatu na kumwambia toka hapo haraka sana, mke akatoka na hakutoa kitu kwa siku ile.

Jana ameenda na kukuta nyumba wamevunja vitasa vyote na kuweka vipya (watoto wa mambo hao na mama yao) mume mpaka leo hajulikani alipo na hana mawasiliano.

Ushauri wenu nini afanye huyu mwanamke kupata vitu vyake vilivyokuwemo ndani? Na juu ya hudumu za watoto?

Tafadhalini sana
Mwenye mamlaka ya kutoa talaka ni Mahakama, kama dada yako amefukuzwa wakati ameishi na huyo mume na kukawa na ushahidi huo afike mahakamani afungue kesi atapata haki zake bila wasiwasi. Dada yako huyo aanze kwenye serikali ya mtaa akilalamika pale kuwa amefukuzwa, akifika muwewe ataulizwa ukweli akidai ametoa talaka aulizwe ameitua kwa kuzingatia sheria gani na kwa mamlaka gani? kama muafaka haukupatikana nendeni mbele
 
Kitu kizuri kaamua kukuignore,tatizo wadada mtu akiwa nice kwenu mnaanza dharau
wewe ndo unatafuta ugomvi sasa. I said am sorry na kikubwa it was not you jaman was talking to.

Y unapenda kununua kesi?

am gud with him na tumeyamaliza salama.

What is the secret behind this? were you looking for me to attack in anyhow?
 
Kitu kizuri kaamua kukuignore,tatizo wadada mtu akiwa nice kwenu mnaanza dharau

Let it go mkuu


Heshima yangu na upendo wng kwake ilikuwa kubwa sn lkn i learnt my lesson.


Kuwa offended early morning kunaharibu cku yako
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu.sasa uyo mume hayupo na Hanna mawasiliano sasa VP hapo ?mahakama inaweza kupitisha uwamuzi?sababu mlalamikiwa hayupo..
Kikubwa ni shitaka lifike panapohusika aidha aiombe mahakama kuzuia mali kutogawanywa mpaka kesi ya msingi isikilizwe, hilo la kutokuwepo usijali kikubwa ni kufungua kesi mahakama inaweza kutoa hata tangazo gazetini kama mhusika hatakuwepo kesi inaweza kusikilizwa upande mmoja na uamuzi kutolewa.
 
wewe ndo unatafuta ugomvi sasa. I said am sorry na kikubwa it was not you jaman was talking to.

Y unapenda kununua kesi?

am gud with him na tumeyamaliza salama.

What is the secret behind this? were you looking for me to attack in anyhow?
Acha kujifanya mwema nw
 
Tafuteni mali zenu
Afu inaonesha wewe ndio wataka mgawanyo wa mali na si dada yako
 
Back
Top Bottom