Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

Ushauri: Amepewa talaka, afanyeje apewe mali zake?

ww ndo mtoto akili zako fup sana unaamini ili mtu akuelewe lazma umfanyie personal attack lala salama mdogo wangu
 
Ndio maana sitaki kuoa.

Mali nitafute peke yangu alafu tukagawane kisa ulikuwa unanikatikia kitandani.
 
Kipimo chepesi cha ujinga wa wanawake wa kibongo haswa waliolewa wao wakiachika badala ya kuwaza wataanzaje life mpya wao huwaza mali za mtalaka,mali ya mtalaka utaitumia vbaya na itakudumaza akili...ww na rafiki yako wote hamna maana!
Maneno gani haya ndugu yangu duh!
IMG-20170122-WA0026.jpg
 
Vunja kitasa uingie ndani hiyo nyumba ni matrimonial home. ..wewe na mumeo. .yaani usitoke hata kwa winji. ..alafu ndiyo nenda mahakamani. ..wakati kesi inaendelea wewe uko kwako. ..LAKINI KAMA KUNA NAFASI YA KUOMBA MISAMAHA OMBA. ..YAISHE. ..
 
Talaka tatu kwa mkupuo sina hakika kidini kama zimweswihi hizo

Akashtaki bakwata
 
umemjibu vzr ila ustawi wajamii nao ni kimeo kingine, bora angeenda kituo kikubwa cha polisi kwenye sehemu inaitwa DAWATI.

nahisi hii atasaidiwa kirahis zaidi.

Uliendaga huko
 
M curious...hebu njoo uniambia wot happened
Nimegundua ndo maana unaitwa Nokia 83[emoji38]
U wanna tell me kila mtu anaechangia kitu amefanya? Acha bas hayo maneno ni asbh mnooo
 
Nimegundua ndo maana unaitwa Nokia 83[emoji38]
U wanna tell me kila mtu anaechangia kitu amefanya? Acha bas hayo maneno ni asbh mnooo

Ndio maana nlikuuliza umeenda huko....anyway mm huwa sija-judge watu kwa majina yao.
 
Back
Top Bottom