Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Pole sana,usiitoe dada koz ushafanya makosa,we tulia tu litakalo kuja mbele wakishajua ndo ulilete tena tulijadili ten
 
Wazazi wako walikua wakisubiri mkwe kwa kipindi kirefu sana, haya sasa mpeleke na lazima wampunguzie maana wanamjua hawawez mgonga Mahali kubwa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Pole sana,usiitoe dada koz ushafanya makosa,we tulia tu litakalo kuja mbele wakishajua ndo ulilete tena tulijadili ten
Asante bby.....nimekupenda bure....bila shaka ww ni mwanaume wa dar...maana wanaume wa mkoa tokea niwape makavu yao
Wananiandama kweli
 
Ninaombeni ushauri, nimepewa mimba na baba mdogo wangu. Yaani hapa nilipo nimechanganyikiwa. Naogopa kutoa ila ninajiuliza nifanyaje kwa maana wazazi wangu wakijua baba mdogo wangu ndo mpenzi wangu watanikata masikio.
Kwa nn hukuomba ushauri kabla ya kufanya huo uzinzi wenu? Kikawaida ukilikoroga unalinywa
 
Nimesema ni rafiki yangu sio mimi mhhhhhhhhh wanaume wa dar kwa umbeaa loooooooh
HIKI NDO ULICHOANDIKA... nanukuu...
Ninaombeni ushauri, nimepewa mimba na baba mdogo wangu. Yaani hapa nilipo nimechanganyikiwa. Naogopa kutoa ila ninajiuliza nifanyaje kwa maana wazazi wangu wakijua baba mdogo wangu ndo mpenzi wangu watanikata masikio....
Mwisho wa kunukuu...
KUNA NENO RAFIKI YAKO HAPO..??

KWA WATANZANIA WANNE KUNA KICHAA MMOJA... LAKINI KWA WATANZANIA KAMA WEWE, MKIWA WANNE WOTE NI VICHAA
 
Ujinga ujinga tu! Yaani kama mtu hata akili kidogo tu ya kuelewa kuwa huyu ni baba yako mdogo ni shida, utaelewa ushauri utakaopata kweli? Kama ni kweli nadhani wewe na hiyo baba yako mdogo wote mnakosa kitu fulani kichwani na rohoni.

Ningekuwa tayari kukushauri kama mada ingekuwa "baba mdogo ananitaka kimapenzi" au "navutiwa kimapenzi na baba mdogo wangu". Lakini kwa hapa ulipofika, najiweka kando kwenye kutoa ushauri.
 
Mkuuu Mbonaaa unatuchanganyia habarii coz mkuu nahisi kunauzi usha uleta hukuu unatembea na binamuyako tukueleweje sasa..
 
Mbona hukuja kutuomba ushauri wakati unaenda kuunganisha nae vikojoleo vyenu
 
Baba ndogo wako atakuwa wa Dar kishalipia 20,000 harama ya kula papuchi. Na wale wanaonuka kwapa wa mikoani ulisema huwataki.
 
Back
Top Bottom