Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
Wenzio tunakulaga kwa binamu tu sasa wew baba mdogo si ni sawa na baba yaani laana tupu
Zamu ya nani leo shemeji..??Wenzio tunakulaga kwa binamu tu sasa wew baba mdogo si ni sawa na baba yaani laana tupu

Kaulizia mzigo kama upo sokoni, na si wewe..🙂Sipo sokoni. Me binadamu sio bidhaa
Ahahaa shenzi typeZamu ya nani leo shemeji..??
huu mchezo unaenda taratibu mkuuNikajua unaomba lift! mbona umeishia kuuliza tu
Nimekusoma mkuu..ahahahahuu mchezo unaenda taratibu mkuu
Humu ndani kuna mashoga Mpwa. Nilisoma thread yake moja asubuhi ya Leo nikawa nawaza kuwa mbona kama vile huyu sio Mwanamke??
Asubuhi nilisoma post yako hapa kuwa wanaume wa mikoanii ni washamba wa mapenzi....Ninaombeni ushauri, nimepewa mimba na baba mdogo wangu. Yaani hapa nilipo nimechanganyikiwa. Naogopa kutoa ila ninajiuliza nifanyaje kwa maana wazazi wangu wakijua baba mdogo wangu ndo mpenzi wangu watanikata masikio.
Mi nimekuita ma mdogo kumbe ulishamtoa mtu bikraHaloooooooooooooooo
Mnafiki kafungua darasa wambea nendeni mkasome![]()
![]()
![]()
Nina dispensary yangu natoa mimba ,hata kama ni ya miez 8 naitoa tu,usiogope Dada mambo madogo hayoNinaombeni ushauri, nimepewa mimba na baba mdogo wangu. Yaani hapa nilipo nimechanganyikiwa. Naogopa kutoa ila ninajiuliza nifanyaje kwa maana wazazi wangu wakijua baba mdogo wangu ndo mpenzi wangu watanikata masikio.
Hata kama sio mwanamke kijinsia, ila kivingine atakuwa ni mwanamke kabisa. Siku hizi mtu akiwAza tu pumba yoyote kwenye boksi lake anaianzishia uziHumu ndani kuna mashoga Mpwa. Nilisoma thread yake moja asubuhi ya Leo nikawa nawaza kuwa mbona kama vile huyu sio Mwanamke??