Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Ninaombeni ushauri, nimepewa mimba na baba mdogo wangu. Yaani hapa nilipo nimechanganyikiwa. Naogopa kutoa ila ninajiuliza nifanyaje kwa maana wazazi wangu wakijua baba mdogo wangu ndo mpenzi wangu watanikata masikio.
Dada!
Ww si ndiye uliyesema wanaume wa mikoani ni wachafu na tena huwezi kuwa nao na ukajigamba kuwa watakao faidi penzi lako ni wanaume wa dar?
Dada hata huyo baba mdogo wako ni mwanaume wa dar umeamua kumpa penzi.
Kutoa ni hatari sana bora ulee. Ushaharibu bora ukubali hii aibu sbb ukitaka kutoa unaweza kutoa kizazi ikakuletea shida huko mbeleni
 
Mbona ukuja kumwombea ushauri wakati anataka kumpa kisambusa ba mdogo.
 
mnaondelea kumjibu ni kama mnampa kichwa anacheza na akili za watu.. Inawezekana ushamba WA mitandao au utoto au ujinga au umalaya UNAKUSUMBUA binti badilika tafuta kazi za kufanya
 
Nimesema ni rafiki yangu sio mimi mhhhhhhhhh wanaume wa dar kwa umbeaa loooooooh
 
Dada!
Ww si ndiye uliyesema wanaume wa mikoani ni wachafu na tena huwezi kuwa nao na ukajigamba kuwa watakao faidi penzi lako ni wanaume wa dar?
Dada hata huyo baba mdogo wako ni mwanaume wa dar umeamua kumpa penzi.
Kutoa ni hatari sana bora ulee. Ushaharibu bora ukubali hii aibu sbb ukitaka kutoa unaweza kutoa kizazi ikakuletea shida huko mbeleni
Nadhani mwanaume mchafu wa mkoa aliyekutana naye ni huyo baba yake mdogo
 
mnaondelea kumjibu ni kama mnampa kichwa anacheza na akili za watu.. Inawezekana ushamba WA mitandao au utoto au ujinga au umalaya UNAKUSUMBUA binti badilika tafuta kazi za kufanya
Heheeeeee halooooooooooo kweli sio kila gesi ni ya mtwara babuuu
Nyingine ni za kujamba
 
Hii ndio ule utafiti uliosema tz katika kila watu 4 kuna kichaa mmoja
 
Back
Top Bottom