Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,535
Mpeni ushauri rafiki yangu, amepewa mimba na baba yake Mdogo. Yaani hapa alipo amechanganyikiwa. anaogopa kutoa ila anajiuliza afanyaje kwa maana wazazi wake wakijua kuwa ana mimba tena ya baba yake mdogo wazazi ake watamkata masikio kwa hasira.
 
Wewe wewe ndo ulikuwa unaponda wanaume wa kijijini kumbe unapenda wanaume baba mdogo!![emoji1]..........kweli hii dunia ina mengi![emoji30]
Mkuu unamjua mleta mada au umejuaje kuhusu yeye kutopenda wanaume wa kijijini?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom