Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Ushauri: Amepewa mimba na baba yake mdogo

Fungeni ndoa, maana huyo tayari ni mumeo na tayari umeshalaaniwa kahaba wewe!!
 
Sasa jmn hv hapo unakuta kuna wanaume wenye moyo Wa kumuoa walimkuta na yy akagoma kwamba ameridhika mapenz na babayake mdogo ,Eeeee Mungu hv tutajibu nn kwako ww ulie juuuu maaana mm nashindwa elewa jmn
 
Bwana usitoe mimba ukadhuru kiumbe ambacho hakijaingia kwa baht mbaya ,xx ni bora ww uondoke hayo mazngira ili ukastay another area ili kukwepa maswal ya wazaz kuhusu hio mimba ,
Kuuuuua ni dhambi kubwa sna ni bora uzae na pia atunze hcho kiumbe kwn huend baadae kitamulea yy na babake/babuyake
 
Mpeni ushauri rafiki yangu, amepewa mimba na baba yake Mdogo. Yaani hapa alipo amechanganyikiwa. anaogopa kutoa ila anajiuliza afanyaje kwa maana wazazi wake wakijua kuwa ana mimba tena ya baba yake mdogo wazazi ake watamkata masikio kwa hasira.
Kitanda Hakizai Halam
 
Back
Top Bottom