Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Sawa tumeelewa, na yule binamu uliemtoa bikra ulikua ni wewe au ni rafiki ako pia?Someni habari kabla ya kutoa comment jamani
Wanaume wa mkoa wagumu kweli kuelewa
Sawa tumeelewa, na yule binamu uliemtoa bikra ulikua ni wewe au ni rafiki ako pia?Someni habari kabla ya kutoa comment jamani
Wanaume wa mkoa wagumu kweli kuelewa
ni yeye si alitolewa bikra ya , mnduku....Sawa tumeelewa, na yule binamu uliemtoa bikra ulikua ni wewe au ni rafiki ako pia?
Myb geti kali.Amekula kilicho karibu ykeHivi kweli mtu utaepuka laana apo wanaume wote waliojaa mpk kumvulia chupi baba ako mdogo
Mmh baba mdogo af anaogopa kufanya abortion! ! Mi namshaur awahi haraka kabla haijashindkana kutolewa aiseeMpeni ushauri rafiki yangu, amepewa mimba na baba yake Mdogo. Yaani hapa alipo amechanganyikiwa. anaogopa kutoa ila anajiuliza afanyaje kwa maana wazazi wake wakijua kuwa ana mimba tena ya baba yake mdogo wazazi ake watamkata masikio kwa hasira.
Laana iyo itamtafuna mpk anaingia kaburiniMyb geti kali.Amekula kilicho karibu yke
Daaah mkuu nimechekaaa tnx kwa kunipunguzia stress but ndiooo maisha yalivyoPia aliwahi kudai kuwa yeye ni dume la mbegu na alimtoa binamu yake usichana,ushahidi huu hapa mkuu!:https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1117382/
Aliwahi kutoa uzi wa kuwaponda wanaume wa kijijini mkuu,ushahidi huu hapa:https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1129896/
Usimpe pole amelaaniwa huyoPole mama mdogo