Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Kwa hilo kusameh ni ngumu, km ulohadithia hapo hukuzua basi kisasi ni Haki.

Huyo kakuathir kisaikolojia, na hakufikiri alipokutendea huo unyama kama angeweza kukudhuru zaidi ya maumivu uliyoyapata, pengine hata kukuua.

Miaka 15 bado mdogo, hakuwa hata ba imani na mtt wa mwenziwe?
Apo km unapata watu unawatuma wanambaka, then wanamvunja huo uume wake unaomfanya awe hayawani.

Na wewe huna haja ya kumwambia km lazima nkufanyishie, unaweza ukashindwa kufanikisha adhma yako coz utakuwa usham alert na yeye atakua yupo makini.

Usimuue, ile mtende nae ajute kuzaliwa.
 
POle sana miss chaga kwa uliyokutana nayo kwenye maisha yako. Napenda nikushauri kigodo tuu ama niongezee aliyoyasema Watu 8 hapo juu.

Kwanza kabisa natambua kwamba ulikosewa sana kiasi cha kudhalilishwa kijinsia, matokeo ya dhalili hii ni uchungu uliojaa moyyoni mwako ambao hadi leo upo na hauwez kutoka kwa siku moja.
Napenda nikwambie kwamba kwanza usiwatukane wanaume wooote kwa sababu ya kosa la mwanaume mmoja, manake hata wewe naamin utataman kuolewa, na kuzaaa watoto wa jinsia zote hivyo s jambo jema kuwatusi wote.

kuna jambo moja ambalo mimi huwa naona ni msaada sana kwangu pale ninapoudhiwa ama ninapotendwa jambo ovu kabisa (ingawa sijafikia kwako) na jambo hili mimi nililijenga katika mtazamo tofauti kabisa na wengine. Katika kila uovu anaonitendea mtu huwa nayaona mafanikio kupitia uovu wake. sijui kwann niko hivyo lkn niliona hii ni njia rahisi sana ya kunifanya mimi kuish kwa amani na furaha duniani.

Leo hii sikwambii kwamba ishi na huyo baba umpende as if hajawah kukukosea hapana, na pia huwez kujua ni wangapi ambao ni ndugu ama mabinti a kazi anawamiza kwa tabia yake hii. ningekuwa mimi ningetaka sasa kumfanya ajute kwa makosa yake. Ni busara sana kwa mtu mwovu kumfanya ajute kwa makosa yake na atambue kwamba kweli alikosea.

njia ya kufanya omba wazee wa ukoo waitishe kikao na usisitize unataka awepo yaani aje kweny hicho kikao. note usiseme mwanzoni shida yako ni nini hapana unaweza kufake kwamba unataka kumleta mchumba home najua watu watakuja na shara shamra shamra kibao. wewe mbele ya ukoo unasema wazi pasi kufisha jambo lolote lile na unasema kwamba nia yako wewe ni kutaka kumfanya aache tabia yake mbaya. Mungu yupo atakutetea lkn utakuwa mpaka hapo umesha mwadhibu vya kutosha na hao wapambe wake wote wataishiwa nguvu. sema ukiwa strong, usiyeogopa watu panapo ukwel. usitake kuonewa huruma ila taka ujumbe ufike kwake na kumfanya ajute makosa yake. tena mtishie mwambie kwamba ingawa alikutenda miaka iliyopita ila uchungu bado upo na kwa sasa umekwenda kushtaki kisheria manake ushahidi upo na unajua wewe ulipouweka ushahidi wako.

najua lazima akili itawakaa sawa hao ndugu zako wote na najua watataka sasa kukuomba mambo yasiende kwenye sheria lkn wewe uwe mkavu na jasiri kwamba unataka alipe dhambi alkutendea wewe. tena usikubali kudiscuss sana na watu juu ya hili yaani unakuwa wewe kama wewe.

Pia kwasababu wewe unayoshida tayari kisaikolojia huwez kuona raha ya mapenzi mpaka uchungu ulioubebea uondoke. ni kwa njia hii pekee uchungu unaweza kukuisha na hapo ukaanza kufurahia maisha ya mapenzi. toa kwanza uchungu nafsini mwako kwa njia ambayo haivunji sheria za nchi na ambayo itakufanya uwe na amani milele.

Kila la heri mamito.

NB WAZEE WA KICHAGA WANASIFIKA SANA KUTEMBEA NA MABINTI ZAO SIJUI NI KWANINI
 
Last edited by a moderator:
Msamehe, sahau na endelea na maisha yako. Ukifanya hivi yale maumivu na hasira ulizopata wakati wa unyama ule zitageuka kuwa BARAKA maishani mwako. YESU aliweza kuwasamehe waliomtoa Roho, vipi kuhusu aliyekusababishia maumivu? Samehe 7 mara .....?
 
Bi mkubwa habari yako.

Hebu jaribu kutuliza akili yako na roho ya kulipiza kisasi na ile ya mauaji itulie.

Hivi jaribu kujiuliza jambo moja, unataka kumuua mwanadamu mwenzako je wewe ndiye uliyempa pumzi ya uhai?

Maisha na uhai ni zawadi mtu apewayo na Mungu wala hakuna mwanadamu awaye yoyote mwenye hati miliki ya pumzi ya mwanadamu mwenzake.

Kosa lililofanywa na Baba yako Mkubwa lisikufanye uingie kwenye laana ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako. Je unakumbuka jinsi Kaini alivyopata maapizo toka kwa Mungu pale alipomuua nduguye?

Nikiachana na hilo sasa naelewa kwa nini katika ule uzi wa juzi wa yule dada aliyeeleza kuwa huwa hana hamu ya mapenzi, nawe ulichangia vile ulivyochangia.

Kumbe historia yako iliharibiwa mahali fulani na imepelekea mfumo wako mzima wa mahusiano kuharibika.

Ili uutibu moyo na akili yako inakubidi uamue kupadilisha namna unavyowachukulia wanaume.

1. Baba yako mkubwa hawakilishi wanaume wote duniani, wakati wewe unamuona ni mbaya lakini upande wa pili mkewe anamuona ndiye mwanaume bora kuliko wote duniani.

2. Waungwana husema kwamba, 'Kila shetani huwa na mbuyu wake'. Bi mkubwa inakupasa uanze kuamini kuwa kuna mwanaume mmoja ambaye aliumbwa kwa ajili yako naam kwa ajili ya moyo wako.
Mwanaume huyo kwa namna nyingine huwa hatokei kama nafsi, moyo na akili yako havijaanza kumuumba na kuamini katika njia ya chanya.

3. Jifunze kusamehe kama ambavyo wewe unavyosamehewa na wale waliokukosea.
Jaribu kujiuliza maishani mwako ni wangapi huwa unawakosea na makosa ambayo hao watu wanatamani walipize kisasi lakini watu hao wamekusamehe!!

Mwisho;
Usiache abadani kuomba, kusali na kuifuata njia ya Mungu katika maisha yako.
Kwa sisi Wakristo sina uhakika kama nawe ni miongoni mwetu, huwa tunaamini Mungu ndiye pekee anayelipiza kisasi kwa adui zetu.

Wacha hizo wewe!
We ungebakwa ungeyasema haya??

Mbona mnataka kuleta mahubiri kwa mtu mwenye hasira ya kuharibiwa!

Hakuna cha msamaha hapa!
We sister miss chagga fanya kweli!
Na kama uwezo huna sasa hivi basi msubirie tu! Ukimpatia nafasi mtumie mwanamme mmoja ambake na yeye halafu anyonge!

Kudadeki! Mmoja! Tena ukinyonga hakikisha mpaka amekunya kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Bint yangu miss chaga pamoja na kutuita mbwa, ningependa nikushauri kimbwambwa hivyo hivyo.

Moja, unamwamini Mungu? Unaamini Mungu yupo? Kama ni hivyo basi likabidhi jambo hili mbele sake, sio kazi yako kujua ni kipi na lini Mungu atalipiza, lakini pia wakati mwingine mambo haya hugeuka na kuwa baraka kwako.

Pili unatakiwa kuwa na positive attitude kwa wanaume, huyo mchukulie kama bahati mbaya tu. Kwa kufanya hivyo itakusaidia kuchagua na kupata mme mwema na familia yenye furaha.

Tatu, tafuta ushauri kwa watu wazima I mean wenye busara including viongozi WA dini. Watakushauri pia

Nne, jitahidi kuonana nae huyo Baba yako mkubwa, share nae your pain. No matter ataki-ignore au atakusikiliza hii itakusaidia kupunguza hasira.

Mwisho, muombe Mungu akuvushe salama na kwamba uuondoe waZo lolote baya juu ya nafsi yako. Aaahh nimekushauri kimbwambwa hivyo hivyo ru.
 
Last edited by a moderator:
Nnauhakika mateso yalikua makali kwa sababu mmoja tu..u kept it as a secret..mara nyngi ili ni tatizo pia kwa watu wanao jiua.hawapendi kushilikisha watu wengine katika matatizo yao ,kinachofatia hua ni kujiua..nakushauri mtafute mtu wako wa karibu unaemwamini sana umwelezee matatizo yko..kumweleza tu,utakua umepata relief flani..nakushauri wazo la kuu lifute kabsa adhbu ya kuua kifo ama kifungo cha maisha..hata kama hautaguliwa jitahdi kamwe usifkilie hilo,kamwe uscheze na damu ya mtu ni hatari sana..
 
Pole Mpwa wangu, hivi Kuna bikra inayotolewa Huku mnacheka???? Pole sana ushauri wangu umeshausoma??
 
Ma mbwa naona mnajituma kuchangiaaa haya. Mambo mengine solution yake ni ku let go.Najua kulipiza huwezi na maumivu unajizidishia kwa kukumbuka. unae mume au partner ni mtu mzuri zaidi kukusaidia. Ushauri toka mbwa mimi.
 
Hapo ndipo napowaheshimu wenzetu wa imani ya pili, kuwa alieua kwa upanga naye auwawe kwa upanga..

Yaani kama ungekuwa dada yangu ndio unanipa hiyo story huyo mzee angejuta..

Tungemnywesha Juice ya Tindikali mbele ya mke wake na watoto wake ili hata mahakamani tukihukumiwa kifo tukubali kwa roho safi maana tutakua tumeacha fundisho kubwa sana wa mabazazi kama hao..

Yaani imeniuma kama nini, sijui nikushauri umnunulie sumu ya panya Tindikali au utafute mabazazi wamgegede
 
Wacha hizo wewe!
We ungebakwa ungeyasema haya??

Mbona mnataka kuleta mahubiri kwa mtu mwenye hasira ya kuharibiwa!

Hakuna cha msamaha hapa!
We sister miss chagga fanya kweli!
Na kama uwezo huna sasa hivi basi msubirie tu! Ukimpatia nafasi mtumie mwanamme mmoja ambake na yeye halafu anyonge!

Kudadeki! Mmoja! Tena ukinyonga hakikisha mpaka amekunya kabisa!

nimeishia kucheka tu..........
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,


unahitaji professional help (msaada wa kitabibu) psychiatric au psychologist...........

ni kweli huyo mwanaume amekuharibia maisha yako , lakini kadri muda unavyozidi kwenda utazidi kujiharibia maisha yako wewe mwenyewe.............

kitendo cha kutaka kumalizia hasira zako kwa wanaume wote kwa kitendo ulichofanyiwa na mwanaume mmoja , itakukula sana maishani............

nini ufanye.........

1. tafuta huyo mtaalamu hapo juu akusaidie uweze kutibiwa hiyo Post Traumatic Stress Syndrome.

2. hakikisha unakuwa na mwanaume ambaye unaweza kumuelezea matatizo yako kwa uwazi na akayakubali , ili akuhandle kwa care,,,,,,,, kama atajitambua na kukukubali mwisho wa siku utafurahia tendo la kujamiiana kwani atakupeleka taratibu mpaka uweze kufurahia.

3. Pull yourself out of that Mess , kama haupo tayari kutoka kwenye hiyo hali mwenyewe hata huo msaada kutoka kwenye 1 & 2 hautaweza kukusaidia.

4. sikushauri ulipe kisasi , kwani utawaumiza hata na ambao hawana hatia (kama watoto wake n.k) na pili utajiongezea stress zingine na utakosa furaha maishani , ila kama unaona ni lazima mmwagie tindikali au tafuta wazee wa kazi naye abakwe aone inafananaje.............

POLE SANA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom