Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Huu ni uoga wa kiwango cha lami!
Kwa Mimi bora nife nikiusimamia ukweli

Kwamba aombe radhi hata kama ni mabwana wale wanahusika!!

Kwamba bwana wale wana nguvu kuliko sisi?!!

Hakuna kitu kama icho!

Tukutane wapiiii........
Wale wa Arusha tunakutana wapi??
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Ushauri wako sio, tayari umeshamhukumu kuwa alijiteka,na aombe msamaha, hebu tuassume hajajiteka, naomba umshauri upya...
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Duh aombe msamaha ili aachiwe aishi???!me naona bora aombe ukimbizi au arekodi clip ya ukweli wote airushe mtandaoni wamuue tukiwa na ushahidi ,karma will make dem pay!!Mungu ni wetu sote
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Mkuu embu taja makosa yake ni yapi?
 
Ukimbizi wake utakuwa wa muda mfupi tuuhadi 2020 serikali itakapo badilishwa kwa mujibu wa katiba.Vinginevyo waweza kuwa mfupi zaidi kama CODE 26042018 ikifanikiwa na watu wakinyanyua mikono juu kupisha wenye mapenzi mema na nchi washikehatamu.
Watu kama Madelu na Bashite hawaaminiki kwenye uhai wa wengine kwani mioyo yao sii hii waliyo nayo binadamu wengine. Kumpoteza kijana kwao ni sawa na kuondoa maisha ya paka mdokozi ndani ya nyumba
 
Umewafikiria wale waliomchukulia zamana? Hili alikuwa afanye badala ya kuripoti kituo cha polisi kule Iringa. Kwa sasa itakuwa nikuwa betray wale waliomchukulia zamana
 
Amna haja ya kuogopa akomae Hapa Hapa TZ ndo nch yake hii namna nyingine yakuwA salama aombe msamaha tu
 
Na kama ni kweli alitekwa itakuwaje??.Anyways ni kwamba Dogo bado yuko at risk kwa sababu serikali imeshawaaminisha wananchi kuwa NONDO Alijiteka, sasa kitakachofuatia hapa ni kwa Nondo kutekwa moja kwa moja , Na sirikali itakuja na majibu mepesi kuwa NONDO KAJITEKA TENA kwa sababu huwa anakawaida ya kujiteka, Na mjadala kufungwa kabisa.
unapoteza muda wako kumjibu huyu kwani hajui. Hapa yupo kazini kuongezea nguvu maana wamepewa za uso kila kona kwani watu siku hizi wameacha kuogopa
 
Naona mmeibua mbinu mpya ya kujipatia visa ya bure, zamani watu walikua wanazamia meli, ila tunawaomba muachane na hii njia maana inahatarisha amani yetu. Ni hayo tu.
CCM mbona mmeibua mbinu mpya za kutesa,kuua na kununua wapinzani ili kupunguza upinzani
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Kwani aliikosea serikali mi nilikuwa sijui kumbe serikali ndio inamuadhibu mpaka aiombe msamaha!
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Aombe msamaha kwa kutwekwa? iv hizi akili hua mnazitoa wapi?
 
Mbona mnaituhumu serikali kwa jambo zito hivyo yaani imteke halafu aiombe msamaha kwa kumteka Yesu rudi uijie watu wako
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
A
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
yaani na wewe unaamini kuwa kajiteka, aisee
 
Umewafikiria wale waliomchukulia zamana? Hili alikuwa afanye badala ya kuripoti kituo cha polisi kule Iringa. Kwa sasa itakuwa nikuwa betray wale waliomchukulia zamana
Huyu keshakuwa criminal akisepa wanapeleka interpol anarudishwa ndo anafia sello.
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Na kama kweli alitekwa?
 
Back
Top Bottom