- Thread starter
- #81
Hisense Series A6 VS Samsung AU8000 au AU7000Kwa ulimwengu wa sasa mkuu angalia HDR standard gani zipo,
Mfano HDR10, Hdr10+, Dolby Vision etc. Ungeweka model ningekuchekia, maana 4k kama 4k haina maana sana bila hizo standard.

Mkuu mimi Nina Hisense huu mwaka wa 5 haijawahi niletea shidaYah hisense ina cheap materials halafu they are not meant to last. Its a low budget tv mzae
You are one lucky mofoMkuu mimi Nina Hisense huu mwaka wa 5 haijawahi niletea shida
Model zipi mkuu?Hisense Series A6 VS Samsung AU8000 au AU7000
Hapa sasa umenpoteza mtaalamuModel zipi mkuu?