Type elimu kidogo Mkuu umefanikiwaje kukaa nazo muda mrefu hvyo. Tunaomba darasa la jinsi ya kuzitunza me mwenyewe nilikua nataka kubadili TV nichukue hiyo brand lakini naona humu ndani inapondwa sanaLabda nipo makini kwenye matunzo, Hisense last year nimenunua ya tatu mara zote hakuna iliyoniangusha. Yaani kubadili kwangu ni kutakana na kuhisi tu moja imepitwa na wakati nanunua latest versions. Ni ngumu sana kunitoa kwenye hii brand nimetokea kuiamini sana.
Mkuu mimi binafsi sioni kama kuna matunzo ya ziada ninayoyafanya, nikiitundika ukutani imetoka hiyo sansana huwa inafutwa vumbi tu kama tunavyofanyaga kwenye Tv ya aina yoyote.Type elimu kidogo Mkuu umefanikiwaje kukaa nazo muda mrefu hvyo. Tunaomba darasa la jinsi ya kuzitunza me mwenyewe nilikua nataka kubadili TV nichukue hiyo brand lakini naona humu ndani inapondwa sana
Dah, sijui mtakuja kuacha lini huu ushamba wa brand!! Usibabaishwe na brand unapoenda kununua vitu na vifaa vya umeme kwa nchi ya Tanzania!!!Habari wataalamu
Naomba ushauri, nina plan ya kununua TV mpya ambayo SIO oled au qled...Iwe Smart na iwe na 4K UHDTV capable.
Nimekutana na hizo options mbili za Samsung ya inch 55 4k uhdtv na Hisense 63 inch Uhdtv
Bei zinafanana.
What option do you recommend?
Watu kama Nyie wafanyabiashara wanawapenda sana. Only huku kwetu hizi brand za ajabu ajabu zinafanikiwa.Dah, sijui mtakuja kuacha lini huu ushamba wa brand!! Usibabaishwe na brand unapoenda kununua vitu na vifaa vya umeme kwa nchi ya Tanzania!!!
Umejibu kwa kutumia mhemko na siyo mantiki.Kwa hizi brand fake zilizojazana Tanzania, linganisha na uelewa wao kuhusu ubora wa vifaa vya umeme unahisi wanaweza kutoboa?? Hizo bei zake wanaweza kumudu??Unakubali wauziwe brand fake kwa bei halisi??Watu kama Nyie wafanyabiashara wanawapenda sana. Only huku kwetu hizi brand za ajabu ajabu zinafanikiwa.
Tatizo lako hujui na hutaki kujua na unakatisha tamaa wenzako wasijue ili wote msijue.Umejibu kwa kutumia mhemko na siyo mantiki.Kwa hizi brand fake zilizojazana Tanzania, linganisha na uelewa wao kuhusu ubora wa vifaa vya umeme unahisi wanaweza kutoboa?? Hizo bei zake wanaweza kumudu??Unakubali wauziwe brand fake kwa bei halisi??
LG, Samsung,Sony,Tcl,Hisense n.k kutofautisha hii ni fake au halisi kwa watanzania wengi hawana huo ufahamu zaidi ya ujuaji na ushamba.Hizo halisi bei zake(wengi wao) kwa Authorized agents watazimudu??
Umejibu kwa kutumia mhemko na siyo mantiki.Kwa hizi brand fake zilizojazana Tanzania, linganisha na uelewa wao kuhusu ubora wa vifaa vya umeme unahisi wanaweza kutoboa?? Hizo bei zake wanaweza kumudu??Unakubali wauziwe brand fake kwa bei halisi??
LG, Samsung,Sony,Tcl,Hisense n.k kutofautisha hii ni fake au halisi kwa watanzania wengi hawana huo ufahamu zaidi ya ujuaji na ushamba.Hizo halisi bei zake(wengi wao) kwa Authorized agents watazimudu??
Duh wewe jamaa sijui huwa unatoa wapi experience zako. Ninayo Hisense 65" A7 series HDR10 inaenda mwaka wa tatu sasaBeba samsung hio hisense itakutia mimba ndani ya mwaka tu
Mie naangaliaga reviews amazon na top reviewers googleDuh wewe jamaa sijui huwa unatoa wapi experience zako. Ninayo Hisense 65" A7 series HDR10 inaenda mwaka wa tatu sasa
Hio hisense umeinunulia wapi mzee?Duh wewe jamaa sijui huwa unatoa wapi experience zako. Ninayo Hisense 65" A7 series HDR10 inaenda mwaka wa tatu sasa
Kwahio reviews ndio zinasema hazifikishi mwaka zinakufa?Mie naangaliaga reviews amazon na top reviewers google
Kwa authorized supplier wa Hisense Tz na warranty juu. Kama zingekuwa hazifikishi mwaka asingethubutu kuweka warrantyHio hisense umeinunulia wapi mzee?
TV bora kwa sasa ni:Tatizo lako hujui na hutaki kujua na unakatisha tamaa wenzako wasijue ili wote msijue.
Kujua Display fake ama ya low quality si kazi ni kitu cha sekunde kadhaa tu ama dakika mfano.
1. Kioo kama ni ips ama low quality vya tft unaangalia tu viewing angle, nenda kulia, kushoto katikati ikiwa haioneshi kwa quality nzuri sio panel nzuri ya display, panel mbaya siku zote inakuwa na view angle mbovu.
2. Plasma siku zote ni kama Glass haina weusi wa LED inakuwa kama kijivu same kwa panel za zamani unazozikuta kwenye chogo.
3. Oled ukionesha Picha nyeusi ukiwa umezima taa inakuwa kama tv imezimwa, ama kwa mzoefu akiangalia tu kwa macho wakati inaonesha rangi nyeusi anajua hii oled, led/lcd haiwezi onesha nyeusi tii. Etc
Pia kila brand inakuja na Unique features
-Samsung smart zina Tizen
-LG smart zina Web os
-TCL smart zina Certified Google TV (Android TV) ama Roku ama opera TV
-Hisense zina Vidaa os etc.
Wachina wa kawaida ama TV fake zina android ambayo sio certified ni aosp ya kawaida kama kwenye simu ama tablet na wanaweka tu Launcher ku imitate, app zake ni za simu hazipo optimized kwa TV kwa macho tu unaona utofauti na Brand za juu.
Na Bei za TV ni within laki mpaka laki 2 Kibongo bongo, baina ya Wachina na brand kubwa
Mfano Tcl ni laki 4 mpaka 5, mchina choka mbaya ni ariund laki 2 na something mpaka 3, kama unaweza Afford toa laki 3 ukanunua TV isio na jina huwezi shindwa kuongeza kidogo ukanunua TCL ama Hisense.
Ukienda Inch 40, 43 ni hivyo hivyo unakuta LG na star x utofauti ni chini ya laki 2, unatoa laki 6 unanunua no name chinese unaacha laki 7 OG.