Ushaur; Mama mkwe ananichukia.

Ushaur; Mama mkwe ananichukia.

dawa ya chuki ni upendo..hzo ni changamoto za kuoa, usidhani utaenda kiulaini
 
atakupenda ukinijali na kunipenda me aaaah sana tu amuna shida

offcourse mpaka nimeamua kwenda kwa mama mkwe ina maana nakupenda na kukujali, what about you au mimi tu ndie nikupende na kukujali? Mchakato on progress
 
go ahead na huyo mdada ila kumbuka wazazi nao wana sehemu yao so nashauri mdada akaongee vzr na mama yake nadhani ataelewa coz ndoa ni imani na ni hisia kati ya wawili,cdhan ht km huyo mama anajua kuwa mwanaye anatakiwa awe huru na hisia zake so acmlazimishe,kila la kheri.
 
mnunulie kitenge cha wax uone kama hakupendi
 
Kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji.....mie hata wangenichukia ukoo wake wote madhali mwenyewe kanipenda wasingenitia tumbo joto.....
 
Nadhani ingekuwa tatizo kama mama yako ndio angemchukia mwenzio
 
Mkuu mm ilikuwa mama yangu mzazi hamtaki niliyempenda. Anamtaka niliyekuwa awali na yule wa awali alitengeneza mazingira ya kupendwa na bimkubwa. Nikaambiwa usipomuoa huyu wazaman wwe c mototo Wangu.. kidume kutokana tabia zao nazijua na yupi wa maisha yangu. Nikaanza mipango nikaoa na bimkubwa hakutokea. Baaada ya harus nikakaa miez 3. Nikampelekea mkwewe nikamuacha week nzima. Mwishowe bimkubwa kalainika kakir ulikuwa sahihi mwanangu. Toka Cku hiyo ni marafiki wazur. So komaa mkuu iko siku atakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom