kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,052
- 7,057
Ni nini eti,
Mayonnaise imetengenezwa kwa vitu gan haswa ili nielewe katika mazingira yetu ya kiswahili. Na matumizi yake ni yapi. Leo nlikua kwenye Coaster ya Mwendamseke inayofanya safari zake toka Iringa - Njombe nikasikia akina mama waliokaa siti ya mbele yangu wakisema eti Mayonnaise ni ubongo unaovunwa toka kwenye maiti za watu jamii ya wazungu na inawekwa kwenye uji kumuongezea akili mtoto anaekua.
Ndo mayonnaise hyo?