Usharobaro enzi zetu

Usharobaro enzi zetu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Hawa akina Diamond wanajifanya masharobaro siyo? Thubutu. Angalia tulivyokuwa enzi zetu!

sharobaro.jpg
 
Hi itarudi tu maana hamna stail mpya zinajirudia zilezile
 
Na ukiongezea zaidi kwamba kipindi hicho hakuna ukimwi, nywele zinachomwa kwa kipande cha chungu kuwekwa kwenye moto na kupitishwa kichwani, looooh!

eeeheee, hii nayo kali, anyway inabidi mkubali tu mabadiliko wazee wetu.
 
Comparatively, aliyepinda zaidi ni mpiga picha! mi siwezi kupiga picha watu wakipozi kwa mtindo huo..... NAONA AIBU
 
Back
Top Bottom