Usharobaro enzi zetu

Usharobaro enzi zetu

14.jpg

Hii Radio inaitwa MEMORY Q
 
Ile picha ya kwanza jamaa kaniudhi sana,

Huo mkono kwa nini kaweka kwenye bench wakati dada kampa ruksa 100%?
 
Na ukiongezea zaidi kwamba kipindi hicho hakuna ukimwi, nywele zinachomwa kwa kipande cha chungu kuwekwa kwenye moto na kupitishwa kichwani, looooh!

Hatari kubwa ilikuwa gono tu!
 
Back
Top Bottom