mtumishi wanawake watu wa ajabu sana akikuona wewe sio mtu wa design fulani siku ukifanya unamuuliza twende sehemu fulani anajidai na yeye hapendi kutoka out, kuwa mbunifu ndugu hao wanapenda kubebwa kama wanaenda machinjoni ukiwaambia mzuka wa safari unakata , kama vile ibrahim alivyombeba isaaka na kutaka kwenda kumtoa sadaka isaaka alipouliza sadaka iko wapi mzee akasema ipo huko huko mbele ya safari.