Ushamba wangu mie

Ushamba wangu mie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
African tulip ukiwa ICC unakata kulia kabla hujafika roundabout ya impala.
 
Kama hawajui kuogelea hii inaweza kuwa tatizo kwa mmoja wao kuishia kuzama au wote.

Mpeleke hoteli kubwa kubwa mnapata msosi murua mkimaliza mnaenda swimming pool kushangaa siku imeisha
 
Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke wangu out, tatizo langu sijui ni wapi naweza mpeleka. Nachoshukuru Mungu na yeye pia sio mtu wa viwanja, so hua nikimuuliza anataka oit aende wapi hajawahi kuniambia, nae ananiambia hajui.
Nikiwaza niende nae bar au sehem za burudani sisi wote tumeokoka, so hua sijui nitaenda kufanya nn...
Nimewahi kuwaza nimpeleke sinema (hata mm sijawahi kwenda) akakataa kwa kigezo kuwa amechoka na tunaweza rudi usiku..
Leo nimemsikia akiniambia anataka siku moja tuje twende dar tukaangalie mpira wa simba na yanga.
Hadi hapa naandika tumekaa home tunacheki liverpool vs cardiff baada ya kumalizana na man U.
Nipeni ushauri nami niwe namtoa out siku moja moja.
Dah...mpeleke daraja la Nyerere akapige picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hawajui kuogelea hii inaweza kuwa tatizo kwa mmoja wao kuishia kuzama au wote.
Watashangaa tu wengine wakiogelea au watasimana tu kwenye swimming pool[emoji3][emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Write your reply...ulitafitiwa mke nini mkuu Kwan pindi unamtongoza au kipind cha courtship ulkuwa unampeleka wapi?
 
Mpeleke hoteli kubwa kubwa mnapata msosi murua mkimaliza mnaenda swimming pool kushangaa siku imeisha
Swiming pool nani ataogelea we mama heeee!!!
 
Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke wangu out, tatizo langu sijui ni wapi naweza mpeleka. Nachoshukuru Mungu na yeye pia sio mtu wa viwanja, so hua nikimuuliza anataka oit aende wapi hajawahi kuniambia, nae ananiambia hajui.
Nikiwaza niende nae bar au sehem za burudani sisi wote tumeokoka, so hua sijui nitaenda kufanya nn...
Nimewahi kuwaza nimpeleke sinema (hata mm sijawahi kwenda) akakataa kwa kigezo kuwa amechoka na tunaweza rudi usiku..
Leo nimemsikia akiniambia anataka siku moja tuje twende dar tukaangalie mpira wa simba na yanga.
Hadi hapa naandika tumekaa home tunacheki liverpool vs cardiff baada ya kumalizana na man U.
Nipeni ushauri nami niwe namtoa out siku moja moja.
Uko mkoa gani? Nikushauri
 
Write your reply...ulitafitiwa mke nini mkuu Kwan pindi unamtongoza au kipind cha courtship ulkuwa unampeleka wapi?
Mkuu, sijataftiwa mke, nimemaliza nae chuo kikuu, na huko pia mambk yalikua kama hivi tuuu..
 
Aliye elewa huu uzi anielekeza muandishi alkua anaandika nin na kipi alilenga kumaanisha
 
Back
Top Bottom