Rafiki yangu anaomba ushauri hyo ndio story....Mama angu anataka kunipa radhi kwa ajili ya mume wangu

gisindika

Member
Jun 9, 2019
17
12
Habar wanajamvi
Mim n msichana wa miaka 25 niliolewa miaka miwili iliyopita ila ndoa yangu imekua na misukosuko mingi sana moja ya misukosuko hyo ni kwamba tuliwahi kutengana na mme wangu kwa sabbu za kindoa ...tulishaenda hadi kanisani kwa ajili ya kusulihisha lakin ndgu zangu walitaka ndoa ivunjwe..mwaka mmoja baadae mme wangu akarud hana kazi wala nin mim ndio niliekua na kazi wakat huo kwahyo niliamua kurudiana nae tena tukaishi kama kawaida chakushangaza baada ya kama mwaka hivi wa kuishi nae tena nilikua tayar nna gar na viwanja vyangu ila baada ya apo nilikua siko vzr maana alikua anataka nimpe pesa kila siku na wakat huo yeye bado hana kazi ananitegemea kwa kila kitu ndgu zangu hawakufurahia mim kumlea lea mwanaume kiasi kile basi kila wakiniuliza je fulan anafanya kazi wap nawajibu ameshapata kazi sehemu moja huko mjin wakat sio kweli ikafika hatua ikabid niuze gar langu ili kulipalipa madeni tuliyokua nayo mama angu mzazi akaniambia endapo nitendelea nae atanipa radhi yake kama yeye hajaniweka kwneye tumbo lake miezi tisa pia mama amekua akisisitiza sana kua hana amani nae kabisa mme wangu ikisingatiwa kua tuliachana vibaya sana.pia huyo mme amekua akiniambia kua ataongeza mwanamke mwingne na kua kama nyumban hawamtaki tena hatoweza kuishi na mim ataniacha mim bado nampenda ingawa familia imekua ikiniambia mara kwa mara kuwa endapo ntapata mwanaume tofaut na mme wangu watanielewa. MAMA YANGU HAMATAKI BABA PIA HAMTAKI WADOGO ZANGU HAWAMTAKI ..PIA TANGU ANIOE HAJAWAHI KUFIKA KWETU HATA MARA MOJA HADI MDA HUU NDUGU ZANGU NA NDGU ZANGU WAKIJA KWANGU HUWA ANAONDOKA HATAKI WAMUONE.
Naombeni ushauri wanajamvi.
 
ulikiri mbele ya kadamnasi for better or worse utakua na mmeo na mmeo kakuoa wewe na si familia yako hiyo amani ya mama yako ilikuwepo wakati wa kupokea mahari ila mambo yameenda vibaya ndoamani imekosekana jamani ndoa hizi...
Habar wanajamvi
Mim n msichana wa miaka 25 niliolewa miaka miwili iliyopita ila ndoa yangu imekua na misukosuko mingi sana moja ya misukosuko hyo ni kwamba tuliwahi kutengana na mme wangu kwa sabbu za kindoa ...tulishaenda hadi kanisani kwa ajili ya kusulihisha lakin ndgu zangu walitaka ndoa ivunjwe..mwaka mmoja baadae mme wangu akarud hana kazi wala nin mim ndio niliekua na kazi wakat huo kwahyo niliamua kurudiana nae tena tukaishi kama kawaida chakushangaza baada ya kama mwaka hivi wa kuishi nae tena nilikua tayar nna gar na viwanja vyangu ila baada ya apo nilikua siko vzr maana alikua anataka nimpe pesa kila siku na wakat huo yeye bado hana kazi ananitegemea kwa kila kitu ndgu zangu hawakufurahia mim kumlea lea mwanaume kiasi kile basi kila wakiniuliza je fulan anafanya kazi wap nawajibu ameshapata kazi sehemu moja huko mjin wakat sio kweli ikafika hatua ikabid niuze gar langu ili kulipalipa madeni tuliyokua nayo mama angu mzazi akaniambia endapo nitendelea nae atanipa radhi yake kama yeye hajaniweka kwneye tumbo lake miezi tisa pia mama amekua akisisitiza sana kua hana amani nae kabisa mme wangu ikisingatiwa kua tuliachana vibaya sana.pia huyo mme amekua akiniambia kua ataongeza mwanamke mwingne na kua kama nyumban hawamtaki tena hatoweza kuishi na mim ataniacha mim bado nampenda ingawa familia imekua ikiniambia mara kwa mara kuwa endapo ntapata mwanaume tofaut na mme wangu watanielewa. MAMA YANGU HAMATAKI BABA PIA HAMTAKI WADOGO ZANGU HAWAMTAKI ..PIA TANGU ANIOE HAJAWAHI KUFIKA KWETU HATA MARA MOJA HADI MDA HUU NDUGU ZANGU NA NDGU ZANGU WAKIJA KWANGU HUWA ANAONDOKA HATAKI WAMUONE.
Naombeni ushauri wanajamvi.
 
Nimesoma story yako mwanzo mwisho tena mara mbili.

Ni ngumu sana kutoa maamuzi kwa kuwa;
1. Wewe una makosa kidogo
2. Mumeo bado ni tatizo kubwa
3. Wazazi na ndugu zako wana makosa.

Uwe makini sana kwa kila ushauri utaoupata.

Hakuja kwenu??? Sasa mlioana vp??? Aiseeee.....
 
Duh haya mambo yanakua kabla, baada inakua ngumu. Nakushauri uwaone wasimamizi
 
Anaechunwa ni wewe kama umeridhika sioni sababu kwanini ndugu zako wanaumia.

Nje kidogo ya mada naomba nikuuliize kitu, kwenu wewe ndio Michael Jackson wao na Bakhresa? I mean umekuwa na mchango mkubwa sana wa msaada kwenye familia yenu (Baba, mama na wadogo zako)?
 
Ndio family yake inamtegemea sana hasa wadogo zake
 
Back
Top Bottom