Ushamba wa watangazaji wa ITV

Masharobaro wa kisukuma kule kijijin kwenu mnavaa trouser zimewabana had miguu inakua kama spoku mnaona ndo ujanja mkija mjini mnafkiri Kila alievaa trouser au shati kubwa ni mshamba
 
...Had I nimehisi kwamba mtoa post ndiye Hugo mwenyewe na ametaka tu kujionyesha na Shati lake jipya!

Mbona.yupo smart tu na Shati. Lipo freshibtu Galina chochote cha ziada cha kustahili kuanzishiwa. Uzi humu JF???
Au Luna kitu sikioni??
 
Habari wana jamvi,leo wakati wa kipindi cha michezo baada ya taarifa ya habari mtangazji Amri Masare ameibuka na bonge la shati. Sasa najiuliza ni ushamba au ni staili mpya iliyoletwa na Kofii Olomide.Kama ni staili mpya wana bodi tuambizane.View attachment 1642512View attachment 1642513
Mleta Uzi huu wewe ndo mshamba kupitiliza! Umezoea kuvaa vinguo vya dada zako za kubana matako ndo unatuletea wanaume barazani?!
Nyie ndo wanaume mnaovaa visuruali njiwa mdomo wa chupa tight na viatu bila soksi!
"Wanaume kama kama mabinti" ,endeleeni pia kula chipsi zenu huku wanaume mabasha wakiwaangalia na kumeza mate!
 
Huyo mtangazaji yupo around 40's kwahyo mimi sishangai.
japo ni kweli hilo shati ni kubwa.na huo uonekanaji ni wa miaka ya 2008 kushuka atakayebisha arejee photos za nyakati tajwa.

Hata kwny soka, ukiangalia bukta/jezi za nyakati za kina bekham, keane, owen, campbel au viera Zilikuwa pana.

hata hapa tz, jezi walizokuwa wanavaa kina nsajigwa, chuji,nyoni
smg, mexime nyakati za maximo ni tofauti na za leo.
nadhan mtoa mada ni mdau sana wa fashion industry.
 
Mwanaume kuvaa nguo za kubana ni ushamba uliopitiliza .huku ni kutokujitambua hasa ukizingatia athari za kiafya kuyabana maeneo nyeti ya mwili.
 
Wachangiaji wengi mnaonesha mpo nyuma sana
Shati halitakiwi kubana,lakini halitakiwi kuwa kubwa Kama la huyo mshamba hapo
Hiyo rangi tu ya shati lake inatatiza,afadhali angevaa na koti
 
Back
Top Bottom