Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,527
- 37,943
Katoto katoa mada kana matusi hako balaa
Mziki ndio huko hivyo duniani kote,kurudia sio dhambi cha msingi ufuate sheria.Hakuna kitu kunachoitwa mziki wa sasa ... kama wao wanaimba mziki wa sasa mbona wanarudia nyimbo za zamani za kina saida kalori na ile siri ya nini... mziki ni mziki... na mziki siku zote utabaki kuwa audio ... nyie endeleeni kukata viuno kwenye video lakini kaeni mkijua hiyo ni hulka yenu tu na msisingizie muziki.
Mziki ndio huko hivyo duniani kote,kurudia sio dhambi cha msingi ufuate sheria.
Diamond sio wa kwanza kurudia nyimbo ya mtu Jide kishafanya Muogo wa jang'ombe na Siwema,Mr paul kairudia Zuena na kiba nae akairudia kimaso maso ya Isa Matona,Mandy&Aslay so sio dhambi cha msingi sheria na taratibu zifuate basi.
Wewe hata unachokiandika hukijui au unaandikiwa?Yani we jamaa hata point yako unayoitetea huijui... kweli we BABA LAO
Huo wimbo nisingeona video kwanza ningeona wa kawaida lakini video yake ni kali kuliko video za Bongo fleva nilizowahi kushuhudia.Wacha ukilaza wewe.... kwahiyo muziki ni video?
chuki binafsi haziwezi sababisha tufike mahali. ka hujaelewa kitu si kumaanisha kuwa ni kibaya yani tuwege na uwezo wa kutofautisha basiii?
wapenda mziki mzuri tusio na makundi siwezi sema wimbo ni mbaya hata siku moja haita iweje sema inakuwa hujanivutia mimi ila najua kunawengine utawakosha ile mbaya na ndivyo ilivyo.
Tuwe wazalendo tuache makundi coz hayatatufikisha popote
Ndio tulionao huku siku hizi inabidi twende nao tuKatoto katoa mada kana matusi hako balaa
Huo wimbo nisingeona video kwanza ningeona wa kawaida lakini video yake ni kali kuliko video za Bongo fleva nilizowahi kushuhudia.
Mtu kwenda levels za ya ile si rahisi na hata Diamond mwenyewe itamuumiza kichwa.
Kwakifupi dogo kafunga 2019
Povu lote hili la nini?
Ngoja nikuwekee link uuone vizuri na viewers wengi wenye kuashiria bonge la wimbo uzione.La wimbo wa Diamond Platnumz Baba lao
Huyu jamaa ni mshamba,kuleta hoja za kishamba,kikuda kama hizo mbele ya wanaojua nini anamaanisha.chuki binafsi haziwezi sababisha tufike mahali. ka hujaelewa kitu si kumaanisha kuwa ni kibaya yani tuwege na uwezo wa kutofautisha basiii?
wapenda mziki mzuri tusio na makundi siwezi sema wimbo ni mbaya hata siku moja haita iweje sema inakuwa hujanivutia mimi ila najua kunawengine utawakosha ile mbaya na ndivyo ilivyo.
Tuwe wazalendo tuache makundi coz hayatatufikisha popote
Hakuna kama BABA LAO
akija kukuwa ataelewaHuyu jamaa ni mshamba,kuleta hoja za kishamba,kikuda kama hizo mbele ya wanaojua nini anamaanisha.
Hapana sijui.... wewe ndiyo unajuaMkuu hilo jina unalotumia humu unajua historia yake? Au unatumia tu.?
Unamuabisha mwenye jina