Ushamba wa wabongo, Viewers wa youtube si kigezo cha uzuri wa wimbo

Hakuna kitu kunachoitwa mziki wa sasa ... kama wao wanaimba mziki wa sasa mbona wanarudia nyimbo za zamani za kina saida kalori na ile siri ya nini... mziki ni mziki... na mziki siku zote utabaki kuwa audio ... nyie endeleeni kukata viuno kwenye video lakini kaeni mkijua hiyo ni hulka yenu tu na msisingizie muziki.
Mziki ndio huko hivyo duniani kote,kurudia sio dhambi cha msingi ufuate sheria.

Diamond sio wa kwanza kurudia nyimbo ya mtu Jide kishafanya Muogo wa jang'ombe na Siwema,Mr paul kairudia Zuena na kiba nae akairudia kimaso maso ya Isa Matona,Mandy&Aslay so sio dhambi cha msingi sheria na taratibu zifuate basi.
 
Yani we jamaa hata point yako unayoitetea huijui... kweli we BABA LAO
 
chuki binafsi haziwezi sababisha tufike mahali. ka hujaelewa kitu si kumaanisha kuwa ni kibaya yani tuwege na uwezo wa kutofautisha basiii?
wapenda mziki mzuri tusio na makundi siwezi sema wimbo ni mbaya hata siku moja haita iweje sema inakuwa hujanivutia mimi ila najua kunawengine utawakosha ile mbaya na ndivyo ilivyo.

Tuwe wazalendo tuache makundi coz hayatatufikisha popote
 
Wacha ukilaza wewe.... kwahiyo muziki ni video?
Huo wimbo nisingeona video kwanza ningeona wa kawaida lakini video yake ni kali kuliko video za Bongo fleva nilizowahi kushuhudia.

Mtu kwenda levels za video ile si rahisi na hata Diamond mwenyewe itamuumiza kichwa.

Kwakifupi dogo kafunga 2019
 
chuki binafsi haziwezi sababisha tufike mahali. ka hujaelewa kitu si kumaanisha kuwa ni kibaya yani tuwege na uwezo wa kutofautisha basiii?
wapenda mziki mzuri tusio na makundi siwezi sema wimbo ni mbaya hata siku moja haita iweje sema inakuwa hujanivutia mimi ila najua kunawengine utawakosha ile mbaya na ndivyo ilivyo.

Tuwe wazalendo tuache makundi coz hayatatufikisha popote

Usizunguke zunguke ile baba lao ni MBAYA mavi kunuka
 
Srinivan Ramanujan

Wewe jamaa ni mshamba kupita kawaida. Ksbb hakuna aliekuchagua kwamba wewe ndio judge wa kuwaamulia watu nyimbo nzuri za kuangalia. Cheo cha kujipa mwenyewe unajiona wewe mtu mmoja unajua kuliko mamilioni ya watu wanaoangalia?. Chuki zako kwa msanii fulani unawalazimisha na wengine wafuate ushamba wako
 
Huo wimbo nisingeona video kwanza ningeona wa kawaida lakini video yake ni kali kuliko video za Bongo fleva nilizowahi kushuhudia.

Mtu kwenda levels za ya ile si rahisi na hata Diamond mwenyewe itamuumiza kichwa.

Kwakifupi dogo kafunga 2019

Hapa mkuu tunazungumzia wimbo wenyewe ambao ni audio .... ambayo ni MBAYA SANA!!!

Hatuzungumzii video maana ile sio tamthiliya.
 
chuki binafsi haziwezi sababisha tufike mahali. ka hujaelewa kitu si kumaanisha kuwa ni kibaya yani tuwege na uwezo wa kutofautisha basiii?
wapenda mziki mzuri tusio na makundi siwezi sema wimbo ni mbaya hata siku moja haita iweje sema inakuwa hujanivutia mimi ila najua kunawengine utawakosha ile mbaya na ndivyo ilivyo.

Tuwe wazalendo tuache makundi coz hayatatufikisha popote
Huyu jamaa ni mshamba,kuleta hoja za kishamba,kikuda kama hizo mbele ya wanaojua nini anamaanisha.
 
Mkuu hilo jina unalotumia humu unajua historia yake? Au unatumia tu.?
Unamuabisha mwenye jina
 
Uteam wako unawalazimisha na wengine wafuate unachotaka?. Bahati mbaya huna hata wimbo mmoja wa kwako kwamba wewe ndio mjanja. Unateseka kuona viwes zinapanda tu?. Ukalipuka uje labda uwaponde Watz huku. Nako umekutana na za uso. Halafu unakuta wewe ni kijana tu una roho ya kichawi. Vipi ukizeeka si utakuwa zaidi ya shetani
 
Back
Top Bottom