Siyo kweli, watu wa D'Salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa Arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.
Siyo kweli, watu wa D'Salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa Arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.
Nilipata tafsiri tofauti tofauti kwa watu na nikapata picha moja kwamba wengi walikuwa na maana ya:
1. Kulimbuka kwa njia zote ulizotaja hapo juu kuvaa nguo, cheo, kumiliki gari, aina ya nyumba, life style
2. Kujifanya mjuaji sana ama mzoefu sana kwa mambo flani flani kwa hakika ukweli ni kwamba hajui, hataki kujionesha kwamba hajui kwa wengine!
siyo kweli, watu wa d'salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.
jay dee aliimba kuwekana kwenye speaker wakati wa kuongea na simu na mpnz,na kusimulia yako na mwandani kwa washkaji pia ni ushamba. anaendelea kushangaa alifikiri kijijini tu ndo kuna washamba,kumbe mjini nako kumo!
kwa kigezo hichi nadhani asilimia kubwa ya vijana na mid-age grp ni washamba
Maana ya Ushamba ni nini haswa ?

Ni jinsi ya kuvaa

Kujua/kutokujua kuongea lugha za kigeni? n.k

Ama nini?